Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Ashura huyu demu anatumia dawa gani? kala hela za marehemu mcheni kamfilisi vijihela vilivyokuwa vimebaki akafungua ka bar pale karibu na mateja mwananyamala kituoni sijui bado ipo?
yaani uliikuwa unamkuta marehemu macheni pale anatia huruma na macheni yake sijui feki yale halafu bibiye pembeni kapakatwa na yule m congo muimbaji wa Diamond sound anaitwa liva sultan ambaye alikuwa analelelewa na huyu dada
 
Akujuwaga na mahusiano na jamaa mmja namjua kitambo sana,anaitwa rama baunsa kwa watu waliyokaa Kino watamjua,jamaa aliporwa na macheni jamaa mpaka leo kama kadata fulani
Katikati tena kuna mtu namjua mbongo anaishi ujerumani mtoto wa stereo eti alitaka kumuoaa na amchkue ampeleke nje
I Ilibidi watu tukae kamati tumuweke chini jamaa tumulize,kichwan yuko sawa au alipewa nn
Alikuwaga na bar yake Togo pale mabalaa ndani yalikuwa yakifanyika si ya kitoto
Inshort ni mwanamke ukiwa naye lazima upoteee
Mimi akinionaga ananitaka kaka
Kana mambo mengi haka kadada

Ova
Mrangiiiiiiiiiiiiii brazaaaaa utakuwa ushapigaaaaa.
 
Ashura huyu demu anatumia dawa gani? kala hela za marehemu mcheni kamfilisi vijihela vilivyokuwa vimebaki akafungua ka bar pale karibu na mateja mwananyamala kituoni sijui bado ipo?
yaani uliikuwa unamkuta marehemu macheni pale anatia huruma na macheni yake sijui feki yale halafu bibiye pembeni kapakatwa na yule m congo muimbaji wa Diamond sound anaitwa liva sultan ambaye alikuwa analelelewa na huyu dada
Watu wanababaikia jina tu wawe naye nao wawe maarufu hakuna jipya
Kuna mshikaji mmja alishaanza kujisogeza kwake amuoe alafu ampeleke ujerumani
Jamaa aliwaka sana,mpaka kuzungumza naye aelewe ilikuwa shuguli
Watu wanababaika na majina,ah namla fulani mjini kmbe ujingaa tu

Ova
 
Hawa watoto wanamdhalilisha Sana marehemu mama Yao mhe. Rwakatale..
kuna ukweli gani wakati huyu jamaa ni mchungaji msaidizi wa kanisa la mama yake nadhani wiki hizi ndo kateuliwa kuwa mchungaji msaidizi.
 
Taarifa ya Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es Salaam ya Mei 24, 2022 imeeleza kuwa wamefanikiwa kumkamata Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu Februari, 2022 akikutwa nyumbani kwa Bi Ashura Ally mitaa ya Tabata.

Sasa Ashura mwenyewe amesema kuwa Diwani huyo ni kaka yake na alifika nyumbani hapo kwa nia ya kumsalimia tu.


Chanzo: Jahazi (Clouds FM)
huamini kuwa ni kaka yake? Si unaona hata maza alimjua?

WhatsApp Image 2022-05-24 at 10.10.46 AM.jpeg
 
Haiishiwi helahuyo mamayaokawaachia helanyingingisana mchungaji rwakatale
 
Rama baunsa alipopigwa chini alipagawa....
Longtime nakumbuka tulikujaga na gari Toyota rider zile pickup kutoka afrika kusini,rama aliuzaga hela yote akaenda kula naye wakati ule rama anakaa ufipa,tuliwasaka sana tukawagumia hotel,tulienda kwake tulibeba vitu vyote tujifidie
Ashura anapenda raha bana

Ova
Nilikua mitaa hiyo nacheck movie lote.huyo rama kadata mpk leo sijui km kapona
 
Huyo jamaa si ndo yule mtoto wa marehem Getrude Rwakatale aliekua anajitambulisha kwenye msiba kuwa..

Mimi ndiye mtoto wa muheshimiwa Getrd Rwakatale naitwa Muheshimiwa Rutta Rwakatale
Kwa sasa tumekutana familia Kaka yangu Muheshimiwa ... Na dada yangu Muheshimiwa ...
Baada ya kikao waheshimiwa tutatoa ratiba kamili ya mazishi ya Muheshimiwa mama yangu

Yaan kila kitu muheshimiwa sahivi ukimuhoji utaskia.. Nilikua kwa Muheshimiwa mpenzi wangu Ashura

[emoji1787]
 
Back
Top Bottom