Zile apartment wanakaa walimu wa st marys japi ni kweli hawawezi kufirisika leo wala keshoUrithi waliokuwa nao ni hard assets zinazoleta pesa nyingii.
Hawa urithi wao sio wa kuisha kizembe zembe
Huyo diwani tabata bima ana appartments zaidi ya 40 anakusanya kodi tu.
Bado assets zingine
Ndio hivyo kwa yeyote atakayemuona atupe taarifa
Pia soma
- Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa
- Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke
- Diwani Mchungaji Mutta Rwakatare aliyepotea na kukutwa na Polisi kwa mrembo Ashura wa Tabata Dar es salaam aahidi kutopotea tena
View attachment 2419257
Si nshomile huyo, ndo zao.Kajamaa kanaonekana kazinzi sana,angalia mdomo na macho yake
Wakimkosa huko waende kwa Mama Kimbo kule Buza Kwa MpalangeSasa hivi atakuwa kwa Mwajuma Mwananyamala
huyo ni bwege tu asisumbuwe watu kama hataki ajihuduru udiwani.Ndio hivyo kwa yeyote atakayemuona atupe taarifa
Pia soma
- Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa
- Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke
- Diwani Mchungaji Mutta Rwakatare aliyepotea na kukutwa na Polisi kwa mrembo Ashura wa Tabata Dar es salaam aahidi kutopotea tena
View attachment 2419257
Yuko salama ila kwa sasa ni vigumu kumuona kwani amezama anakagua urefu wa kina cha bwawa, tusubiri ataibuka.Ndio hivyo kwa yeyote atakayemuona atupe taarifa