Diwani wa Kawe, Mutta Rwakatare adaiwa kupotea tena. Ndugu wamkosa kwa Ashura wa Tabata

Diwani wa Kawe, Mutta Rwakatare adaiwa kupotea tena. Ndugu wamkosa kwa Ashura wa Tabata

Bado ni Diwani ?

Job Descriptions za Diwani ni Zipi na Je unaweza kuzifanya ukiwa AWOL
 
Badala akomae yeye na ndugu zake,wazifanye mali ziwe nyingi,yeye anapotelea ambako watu wengi wanahisi kapotelea,kwa kurejea tukio lililompata kipindi kile.Sijajua huwa anajisafishaje,akipatikana,siyo vizuri mbele ya macho ya wanafamilia wake,ndugu wengine na jamii kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom