mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Zile apartment wanakaa walimu wa st marys japi ni kweli hawawezi kufirisika leo wala keshoUrithi waliokuwa nao ni hard assets zinazoleta pesa nyingii.
Hawa urithi wao sio wa kuisha kizembe zembe
Huyo diwani tabata bima ana appartments zaidi ya 40 anakusanya kodi tu.
Bado assets zingine