Diwani wa Mbagala Kuu, Shabani Othman Abubakari(CCM) afariki dunia akiwa 'guest' na mwanamke

Hivi nyie Wazee Wetu ( Baba zetu ) kwanini mnaacha Kutulia Majumbani na Mama zetu hadi mnahangaika na ' Vibinti ' vidogo ambavyo hata Sisi Vijana wenu akina Generalist vinatutoa Jasho Vitandani ila huwa tunawaweza tu kwa Msaada wa Vumbi la Kongo?
🤣🤣🤣
Walahi nimecheka kama mazuri
 
Wakufwe tu, hakuna namna
 

Hukumpanulia kweli na Vyuma Kukaza?
 
Ivi mbagala kuu na kijichi ni sehem mmoja au tofauti?

Jirani ni kata zinazopakana ukitokea City centre kwa Kilwa road unaingilia Mission unaanza na Kijichi ila Ukitokea Mbagala Zakhem unaanza Mbagala kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…