Dj Ally B: Maneno kidogo pesa nyingi

Kwa sababu hakuna wa kuwauliza "ile gari uliyo_post mtandaoni mbona haionekani kwenye rekodi zetu" au "ulipata wapi pesa ya kununulia"!?
 
Mimi kama mtu ninayeshinda jamii garage nimeagizwa kuja kutoa tamko toka jopo la vyombo fya moto kwamba kwenye magari yote matatu amefanya makosa matatu

Mafundi watakua sehemu kubwa ya maisha yake
Namba za mafundi atazikariri sana

Au sio mjapan Extrovert 😁
 
Wafanyabiashara serious hawajitangazi kwenye media. Kwa uzoefu wangu wa Town ni kuwa Ally B sio mkamilifu kwenye hizo ishu anazotamba nazo. Kuna uhalifu nyuma yake. Tujipe muda tutajua ukweli
 
Mimi naona wapo sawa wana inspire vijana wengi sanaa
 
Sasa mtu asiwe na pesa kisa ndugu?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
What elicited your laughter? Are you not aware that governmental bodies exist to investigate and furnish exhibits to the court? As a citizen, my duty entails raising my voice
Tanzania biashara ya ng'anda sasa hivi iko juu. Hawa wote sijui wasanii, wajasiariamali wenye kelele sana nk. wanafanya biashara ya unga.

Hii sentensi kaongea serikali au wewe?
Ndio tunakuomba ushahidi sababu umesema hao wote wanafanya biashara hizo.

unaongea vipi huna ushahidi mkuu kichwani upo vzuri kweli?
 

Ukiwa shoga tu unapata hela? Hawa mashoga waliofulia imekuaje? Ushoga unalipa vp?

Huu ujinga mlisomea wapi?
 

Inawezekana pia wana maisha mazuri kweli na pesa halali. 50/50 chance.
 
As a responsible citizen, I am obligated to voice any suspicions to authorities even without evidence because it contributes to maintaining public safety and upholding the rule of law . Reporting suspicions allows law enforcement to investigate and preventing potential harm to the community. I am just trying to promote a collective effort in ensuring a safe and orderly society.
 
Kweli tatizo la akili lipo unaulizwa kwamba tuonyeshe ushahidi. Unabaki kuandika ujinga itakucost shauri yako

Kwanini hujaenda polisi?πŸ˜‚πŸ˜‚

Tuonyeshe ushahidi wa uliyoyasema, aya unafatwa sasa uambiwe hii kauli yake tupeleke au tupe ushahidi? Unakaa kupiga soga hapa wakat mamlaka husika zipo kwanini usiende huko kama kweli unataka kupaza sauti?

UNAFKI TU UMEKUJAA πŸ˜‚πŸ˜‚
 
It appears that you may be somewhat disconnected. Perhaps you are facing challenges in cognitive learning and reasoning. Have you ever read the Tanzanian constitution and understood the role of citizens in crime prevention and who is responsible for presenting evidence to the court? I would appreciate it if you could respond to this matter in English to facilitate a smoother understanding of my communication with you.
 
Weee si lazima kuongea kingereza si lugha yangu mama yangu.
Huna unachojua sentensi yako imejaa mamalaka kwamba hao wote wanauza unga leta ushahidi
 
Mkuu naona ulipoona umeshindwa hoja ukaamua kumpiga chenga jamaa kwa kubadili lugha, pengine ukidhani labda jamaa atashindwa then ata back down, ili wewe uonekane mshindi siyo

Lakini elewa tu english is just a language not a measure of intelligence, comments zako nyingi huwa unaandika kwa kiswahili tena fasaha, iweje leo umlazimishe jamaa ajadiliane na wewe kwa kiingereza wakati kiswahili unakielewa vizuri tu

Hapo clearly inaonesha kabisa jamaa ana hoja na wewe huna, ila unataka kujificha kwenye kiingereza ili walau uonekane uko smart, Nyerere aliwahi kusema kitu kama hiki kuwa mswahili akitaka kutetea Uongo wake atachomekea na maneno ya kiingereza ili aonekane ana hoja
 
Na jamaa anamjibu vizuri tu kwa kiswahili huku akifuta kila hoja yake nakuongeza hoja juu ya hoja kwa mdau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…