Dj Ally B: Maneno kidogo pesa nyingi

Dj Ally B: Maneno kidogo pesa nyingi

Wafanyabiashara serious hawajitangazi kwenye media. Kwa uzoefu wangu wa Town ni kuwa Ally B sio mkamilifu kwenye hizo ishu anazotamba nazo. Kuna uhalifu nyuma yake. Tujipe muda tutajua ukweli
Ally B ni celebrity nadhan unaelewa showbiz kuvimba kunakuza brand kunamuweka kwenye spotlight kaz za kibabe zinakua nyingi kwake msimchukulie personal sana
 
Back
Top Bottom