Dj Ally B: Maneno kidogo pesa nyingi

Dj Ally B: Maneno kidogo pesa nyingi

Hujui kitu kuhusu mambo ya mjini. KAA KIMYA.
We ukisema kuna jambo ushaliona
Nashanga humu watu wanakupinga
Wasanii tu wengi walishatumiwa kipindi fulani waliburuza sana mitkasi
Kwenda nje
Watu wanafikiri kazi wanayofanya ni hyo tu kumbe wengjne nyuma ya pazia kuna ----
Ngoja itoke siku wasikie mtu kabnwa
Utasikia yalaaaaaaa

Ova
 
Watu wanabisha kipuuzi. Money laundering, unga, na uhalifu mwingine inawezekana. Ila hizo mbili, utakatishaji pesa na unga ndo zinafanywa sana town. Haiwezekani Mizengo Pinda akaunti yake ina 25m tu huku DJ Ally B anatuonyesha maburungutu ya pesa...!!!
 
Akiulizwa anakuambia show moja nalipwa mln 25 [emoji1] come on
Udj gani huo bongo

Ova
 
Back
Top Bottom