Dj Ally B: Maneno kidogo pesa nyingi

Dj Ally B: Maneno kidogo pesa nyingi

Mkuu naona ulipoona umeshindwa hoja ukaamua kumpiga chenga jamaa kwa kubadili lugha, pengine ukidhani labda jamaa atashindwa then ata back down, ili wewe uonekane mshindi siyo

Lakini elewa tu english is just a language not a measure of intelligence, comments zako nyingi huwa unaandika kwa kiswahili tena fasaha, iweje leo umlazimishe jamaa ajadiliane na wewe kwa kiingereza wakati kiswahili unakielewa vizuri tu

Hapo clearly inaonesha kabisa jamaa ana hoja na wewe huna, ila unataka kujificha kwenye kiingereza ili walau uonekane uko smart, Nyerere aliwahi kusema kitu kama hiki kuwa mswahili akitaka kutetea Uongo wake atachomekea na maneno ya kiingereza ili aonekane ana hoja
Do you have an inferiority complex in English? Did I say English is a nuclear bomb to kill idiots like you? You are very ignorant, and it seems you haven't understood what I wrote. Is it the duty of a citizen to take evidence to court? If there's a crime happening somewhere, isn't it wise to raise awareness so that authorities can investigate?" Unajua kutokuwa na exposure na elimu ya kukariri ni mchanganyiko mbaya kabisa kwako?. Ni kazi ya mwananchi yoyote ku-raise alarm pale anapoonda mambo maovu, na ni kazi ya serikali kuchunguza na kujua ukweli. Koma kabisa kuingia kujadili mambo yaliyokuzidi upeo!
 
So you think the government will undertake investigations based on mere accusations laid on social media, there are situations which may draw in the authorities to intervene in some allegations, but not the way you are trying to postulate here

What makes you think you are the only person here, who has been to whichever country you think you gained your so called exposure in, this is not a matter of exposure but the way each country implements its rules and regulations on such issues

Anyway to make this genuine can you state any article of law in our country which supports your assertion, if the authorities took serious all stupid accusations laid on the internet against certain people, then there would be complete mayhem
 
BILLGATE-nilianzia mbali kutafuta, changamoto ni nyingi.

DANGOTE-nilikopeshwa na babu,ila changamoto ni nyingi sana kufika hapa,usikate tamaa.

MO-safari ya mafanikio sio rahisi,inahitaji kujikana.

MENGI-I can,I must,I will jiambie hivi.

Godlove,ally B-kijana tafuta hela,acha kukaa megetoni,cheki ndinga zangu,acheni uvivu vijana😂😂😂😂😂
hahaha
 
Kweli tatizo la akili lipo unaulizwa kwamba tuonyeshe ushahidi. Unabaki kuandika ujinga itakucost shauri yako

Kwanini hujaenda polisi?[emoji23][emoji23]

Tuonyeshe ushahidi wa uliyoyasema, aya unafatwa sasa uambiwe hii kauli yake tupeleke au tupe ushahidi? Unakaa kupiga soga hapa wakat mamlaka husika zipo kwanini usiende huko kama kweli unataka kupaza sauti?

UNAFKI TU UMEKUJAA [emoji23][emoji23]
Halafu ujinga wake kauficha kwa kiingereza ili wengi wasijue kama ni mjinga !!!
 
Back
Top Bottom