Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Punguza wivuUpumbavu mtupu na kujipendekeza, watu na ndevu zao lakini akili hamna, chawa pro max
Fuko la Pesa likikuangukia awamu hii usipokula Pesa za huyu mama sahau kula Pesa awamu nyingine huko mbele watu wanacheza na mfumo kula Pesa pita hiviHiyo yote ni kujipendekeza
Wanachezea pesa za walipa kodi ujinga mtupuWakuu
DJ maarufu wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, RJ The DJ, ametangaza ziara yake ya muziki inayojulikana kama "RJ The DJ Mama Tour", ikiwa ni sehemu ya kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kaulimbiu ya "Naungana na Mama, Mitano Tena."
Ziara hiyo itapita katika mikoa mbalimbali nchini, ikiwemo Kigoma, Tarime, Morogoro, Dodoma, Singida, Bukoba, Shinyanga, Kahama, Arusha, Moshi, Tabora, Geita, Tanga, Musoma, Bagamoyo, Ngara, na Dar es Salaam.
Uchawa umezidi nchi hiiPunguza wivu
Nchi imekuwa ya wakata unoMnaenda ongeza Single mother tu
Akili kwenye ngono tu
Maisha ya vijana wa siku hizi hayoNchi imekuwa ya wakata uno
Kila kijana ni mwendo kukata uno tu
Ova
Hiyo tour itamsaidia kupata mtoto,maza mitano tena vijana hawana ajira zaidi ya kusubiria fungu la mwanao abdul maisha yasongeWakuu