Jamani!mbona Bashiru alikua smart sana upstairs?nini kimemkumba?!had nimemuonea huruma!
'Amesema ni marufuku ofisi yoyote ya CCM kufanya kazi na taasisi za kimataifa zisizokua na uhusiano na chama hicho.'
Mwambieni WB,IMF,AFDB,USAID,UKAID hawana mahusiano na CCM tuone anaweza kuwafanya nini?
Hio mikwara muwe mnaipiga kwa Wafanyakazi wa Umma,wakina Nape,January,Membe etc msivuke mipaka.

Huyu akiwekewa vikwazo ataanza kulialia
Jua hatuishi kisiwani, fanyeni haki muache nyodo. Nyie mna nguvu kama za Gadafi au Saadam Hussein?? sasa hivi wako wapi??
JUENI DUNIA INAZUNGUKA JUA. One day lazima utoe hesabu ya zuluma
Jamani!mbona Bashiru alikua smart sana upstairs?nini kimemkumba?!had nimemuonea huruma!
Kwani wewe hujui kuwa moja ya condition kabla hujapewa wadhifa mkubwa ndani ya CCM, ni lazima kwanza "uusilimishe" ubongo wako pale Lumumba ili wakutunzie katika muda wote utakapohudumu paleJamani!mbona Bashiru alikua smart sana upstairs?nini kimemkumba?!had nimemuonea huruma!
Unadhani mi nikama wewe unayeshinda lumumba unatega mikono? Mi Mbowe nimpate wapi? Mi ni Mpinzani kiimani wala Mbowe sina issue nayeMwambie Mbowe aache usanii wa kifala kwanza
Kwani wewe hujui kuwa moja ya condition kabla hujapewa wadhifa mkubwa ndani ya CCM, ni lazima kwanza "uusilimishe" ubongo wako pale Lumumba ili wakutunzie katika muda wote utakapohudumu pale
Kwanza hadi dk hii hayo mashirika yatakuwa yashapata umbea...ole wake Bashiru!siku ht wazibe kamrija tu tutatftana balaa