Dk. Bashiru ayaonya mashirika ya kimataifa kuacha kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania

Dk. Bashiru ayaonya mashirika ya kimataifa kuacha kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania

Hii ni list ya waliorudishiwa akili baada ya kustaafu au kutoka huko:-
Mkapa
Kikwete
Membe
"Nape"
Kinana
Masha
Nyarandu
...........
Waliochujwa akili na kuwekwa kwenye jokofu:-
Patrobas
Shonza
Waitara
Bashiru
Kabudi
Kitila
..........
Kweli kabisa
1572191514899.jpeg
 
Duh! Bashiru ni bora ungenyamaza tu kuliko kutoa matamko hayo! Au ulitaka waseme hongera ccm kwa ushindi wa kishindo sio? Kama unapenda kusifiwa basi jua Kuna kukosorewa pia.
Anataka wasifie hayo mazingaombwe yao.
 
Kuna mtambo pale Lumumba wa kuchakata akili za watu wakishajiunga CCM,na huo mtambo operator ni Good luck Mlinga mbunge wa Ulanga.


🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Naamini Lusinde haoni ndani kwa Milinga🤣🤣🤣🤣!niliwah kutana naye harusini eti akawa km mgeni rasmi...nilishangaa..hajui ht kuongea..linaongea limedeka dekaa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Naamini Lusinde haoni ndani kwa Milinga🤣🤣🤣🤣!niliwah kutana naye harusini eti akawa km mgeni rasmi...nilishangaa..hajui ht kuongea..linaongea limedeka dekaa
Hivyo ndo vichwa vya chama tawala Sasa, vinapelekwa popote kwenye uchaguzi kuipgia debe CCM.
 
Hizi PhD za nchi hii nazo sasa ni bure kabisa. Afadhali sasa mtu usijitambulishe nazo zimekuwa takataka kabisa.
 
Back
Top Bottom