Dk. Bashiru ayaonya mashirika ya kimataifa kuacha kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania

Dk. Bashiru ayaonya mashirika ya kimataifa kuacha kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania

'Amesema ni marufuku ofisi yoyote ya CCM kufanya kazi na taasisi za kimataifa zisizokua na uhusiano na chama hicho.'

Mwambieni WB,IMF,AFDB,USAID,UKAID hawana mahusiano na CCM tuone anaweza kuwafanya nini?

Hio mikwara muwe mnaipiga kwa Wafanyakazi wa Umma,wakina Nape,January,Membe etc msivuke mipaka.
CCM haifanyi kazi na hizo taasisi bali serikali ya CCM.
acheni CCM wafanye siasa zao na nyinyi endelezeni ujinga wenu mitandaoni.
 
Tumewatahadharisha Waropoke rope ktu kwa Wapinzani Waoga wa Nchi hii? Hao hawatunishiwi Misuli Kifala!
 
Tukubali tupigwe vikwazo tuone kama akili hazijakaa sawa
 
Duh! Bashiru ni bora ungenyamaza tu kuliko kutoa matamko hayo! Au ulitaka waseme hongera ccm kwa ushindi wa kishindo sio? Kama unapenda kusifiwa basi jua Kuna kukosorewa pia.
 
Ha ha ha haa haa ha ha ha haaa SIGH.... Ha ha ha ha ha haaa haaa..,
Kama hii ingekuwa ni Joke isingekuwa inachekesha ila sababu jamaa yupo serious inachekesha jinsi mtu anavyoweza kuleta kauli kama hii
 
Haya majitu ya yaliyotoka jalalañi shida tupu. Kweli ukitaka ķujua tabia ya mtu mpe cheo,Bashiru kageuka jiwe.
 
Hivi the so called observers wakieleza walichoshuhudia kwa macho yao wenyewe ndio tunaitaje, kuingilia!?
Bashiru Ally amechanganyikiwa baada ya ccm kukimbia uchaguzi .

2202094_Screenshot_2019-11-03-12-57-23.png
 
Sisi wenyewe tujisahishe chaguzi ndogo kama za mitaani/vitongoiji tunajiingiza kuzivuruga kwa kutumia nguvu nyingi hili chama kimoja kipate favour.Je uchaguzi mkuu utakuwaje ?Watanzania walio wengi ni wastaraabu hawapendi vurugu lakini wasiwachukulie poa na ndio maana mabeberu wanatushangaa,wataogopa hata kutuchangia bajeti ya taifa.
 
Back
Top Bottom