Dk. Bashiru ayaonya mashirika ya kimataifa kuacha kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania

Dk. Bashiru ayaonya mashirika ya kimataifa kuacha kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania

Bashiru andelea kuyakoroga maji
tapatalk_1574312211377.jpeg
 
78322956_2702327203159519_1524327001937149952_o.jpg

Tofauti na yaliyoandikwa. Hivi hili gazeti halina mhariri mkuu?
Au wanakuwa na haraka sana ya kulichapa?
Hivi ni 'Kalipio' au"Karipio"?
Hivi ni 'Umbumbu' au "umbumbumbu"?
Asubuhi njema
 
Ukitaka kumjua mtu mpe uongozi wa kukaimu tu utamjua, CCM wanakurupuka na kumpa mtu madaraka ya kudumu
 
Sisi wenyewe tujisahishe chaguzi ndogo kama za mitaani/vitongoiji tunajiingiza kuzivuruga kwa kutumia nguvu nyingi hili chama kimoja kipate favour.Je uchaguzi mkuu utakuwaje ?Watanzania walio wengi ni wastaraabu hawapendi vurugu lakini wasiwachukulie poa na ndio maana mabeberu wanatushangaa,wataogopa hata kutuchangia bajeti ya taifa.
Hyo ndio CCM mpya ya Bashiru. Jamaa limelewa cheo linatoa mapovu tu
 
Jamani!mbona Bashiru alikua smart sana upstairs?nini kimemkumba?!had nimemuonea huruma!
Kuna taarifa zinasema mtu yeyote akijiunga na CCM au akipewa madaraka ndani ya CCM huwa wanaondolewa akili ambazo huhifadhiwa kwenye friji maalum lililopo kwenye chumba Cha Siri ofisi za Lumumba na Kisha hurudishiwa wakifukuzwa,wakistaafu ama wakiondoka.
 
Tulivyo maskini hivi na tunavyowategemea kwa kila kitu British na USA tunawaita mabeberu na viherehere kiufupi tumeshindwa kuficha Tanzania ni nchi ya aina gan
Kwanini kiongozi?
 
CCM haifanyi kazi na hizo taasisi bali serikali ya CCM.
acheni CCM wafanye siasa zao na nyinyi endelezeni ujinga wenu mitandaoni.
Wewe ndio umeonyesha ujinga wako kwa kutoa jibu kama hilo. Aisee, so you guys ndio mlioko huko CCM? Mungu inusuru hii nchi
 
Back
Top Bottom