lema ameshauri ufanyike utafiti fulani, mwanzoni niliona kama masikhara lakini huenda ikatulazimu kuufanya!
punguza jazbaJua hatuishi kisiwani, fanyeni haki muache nyodo. Nyie mna nguvu kama za Gadafi au Saadam Hussein?? sasa hivi wako wapi??
JUENI DUNIA INAZUNGUKA JUA. One day lazima utoe hesabu ya zuluma
Unambiwa kuwa na degree PhD etc hakumanishi wewe ndy intelligentJamani!mbona Bashiru alikua smart sana upstairs?nini kimemkumba?!had nimemuonea huruma!
This was expected
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally ameyaonya mashirika ya kimataifa akiyataka kuacha kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania.
Dk Bashiru ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Novemba 28, 2019 wakati akizungumza na wajumbe wa chama hicho mkoa wa Magharibi mjini Unguja, Zanzibar.
Amesema ni marufuku ofisi yoyote ya CCM kufanya kazi na taasisi za kimataifa zisizokua na uhusiano na chama hicho.
Dk Bashiru amesema uwepo kwa taasisi za kimataifa nchini Tanzania isiwe sababu ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi yasiyowahusu.
Mtendaji mkuu huyo wa CCM amewaonya mawaziri na watendaji wa chama hicho tawala nchini Tanzania watakaobainika kushirikiana na taasisi za kimataifa kwamba watapoteza kazi.
Chanzo: Mwananchi
Unafiki umepenya kwenye ubongo wake.Jamani!mbona Bashiru alikua smart sana upstairs?nini kimemkumba?!had nimemuonea huruma!
Hawana akili hayo. wana bwabwaja tuuuu
Mkuu kuna tatizo kubwa "mtu akishakuwa chama kile"Jamani!mbona Bashiru alikua smart sana upstairs?nini kimemkumba?!had nimemuonea huruma!
Mkuu kuna tatizo kubwa "mtu akishakuwa chama kile"
ThubutuuuuGreat. Amwambie mwenyekiti wake ayafukuze mashirika na kufunga balozi za nchi zote ili kusiwe na mtu yeyote wa kumnanga akifanya chochote kile.
Yuko sahihi Bashiru kwani hayo mashirika hayana mamlaka ya kuingilia chaguzi zetu za ndani.
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally ameyaonya mashirika ya kimataifa akiyataka kuacha kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania.
Dk Bashiru ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Novemba 28, 2019 wakati akizungumza na wajumbe wa chama hicho mkoa wa Magharibi mjini Unguja, Zanzibar.
Amesema ni marufuku ofisi yoyote ya CCM kufanya kazi na taasisi za kimataifa zisizokua na uhusiano na chama hicho.
Dk Bashiru amesema uwepo kwa taasisi za kimataifa nchini Tanzania isiwe sababu ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi yasiyowahusu.
Mtendaji mkuu huyo wa CCM amewaonya mawaziri na watendaji wa chama hicho tawala nchini Tanzania watakaobainika kushirikiana na taasisi za kimataifa kwamba watapoteza kazi.
Chanzo: Mwananchi
Yuko sahihi Bashiru kwani hayo mashirika hayana mamlaka ya kuingilia chaguzi zetu za ndani.
Sie ndo tutakaoumia sio hao kula kulala kwa kodi zetuTukubali tupigwe vikwazo tuone kama akili hazijakaa sawa
Wao wanaingilia ili kuepusha viashiria vya uvunjifu Wa amani vitakavochochea vurugu ambayo wao ndo wataingia tena gharama kuzituliza hivo vurugu.Watawala wa kiafrica wawezacho ni kuzalisha wakimbizi na wahamiaji haramu na sio kuhudumia wakimbizi.Wakimbizi ni mzigo kwa dunia.Kinga ni bora kuliko tiba sisi si kisiwa na sehemu ya duniaYuko sahihi Bashiru kwani hayo mashirika hayana mamlaka ya kuingilia chaguzi zetu za ndani.
Mikwara mbuzi hata nyerere aliwabeza mabeberu akiamini anawezasimama bila wao,alipotaka kupinduliwa akawaomba msaada mabeberu aliowananga wakamsaidia kubaki madarakani alipopigwa njaa hao hao aliowananga akawaomba chakula wakampa mahindi lishe ugali wa dona la yanga na maziwa watu wakashiba.Huwa wanajimwambafy kufurahisha baraza sawa na mtoto kumpiga mkwara baunsaTutakuwa Taifa la kwanza Africa kuwatisha US na UK...wacha tuone muda bado upo..
Huyu ku