the truecaller
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 809
- 940
CCM haifanyi kazi na hizo taasisi bali serikali ya CCM.'Amesema ni marufuku ofisi yoyote ya CCM kufanya kazi na taasisi za kimataifa zisizokua na uhusiano na chama hicho.'
Mwambieni WB,IMF,AFDB,USAID,UKAID hawana mahusiano na CCM tuone anaweza kuwafanya nini?
Hio mikwara muwe mnaipiga kwa Wafanyakazi wa Umma,wakina Nape,January,Membe etc msivuke mipaka.
Huyu akiwekewa vikwazo ataanza kulialia
CCM haifanyi kazi na hizo taasisi bali serikali ya CCM.
acheni CCM wafanye siasa zao na nyinyi endelezeni ujinga wenu mitandaoni.
Siyo yeye tu, hata Slow slow na Kalamaganda walikuwa smart sana upstairs. Ulishingia kwenye ile rangi ya green utafikiri kuna kitu huwa kinanyonywa kichwani lazima ubadilike kwa spidi isiyo ya kawaida.Jamani!mbona Bashiru alikua smart sana upstairs?nini kimemkumba?!had nimemuonea huruma!
Jamani!mbona Bashiru alikua smart sana upstairs?nini kimemkumba?!had nimemuonea huruma!
Slow je! Unamuonaje. Kanuni ya kemia. Madawa (chemicals) aina tofauti zikichanganywa huwa kuna changamoto (reaction) inasababisha kutokea dawa (chemical) mpya yenye maumbile na tabia tofauti. Ni kawaida tu.Jamani!mbona Bashiru alikua smart sana upstairs?nini kimemkumba?!had nimemuonea huruma!
Bashiru Ally amechanganyikiwa baada ya ccm kukimbia uchaguzi .Hivi the so called observers wakieleza walichoshuhudia kwa macho yao wenyewe ndio tunaitaje, kuingilia!?