Dk. Bashiru ayaonya mashirika ya kimataifa kuacha kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania

Jua hatuishi kisiwani, fanyeni haki muache nyodo. Nyie mna nguvu kama za Gadafi au Saadam Hussein?? sasa hivi wako wapi??
JUENI DUNIA INAZUNGUKA JUA. One day lazima utoe hesabu ya zuluma
punguza jazba
 
Unapowaambia nchi za.EU na Marekani wawaondolee vikwazo Zimbabwe huko si kuingilia nako? Zimbabwe wala EU countries na Marekani sio Tanzania.

Ukimuiona mama mzazi ananlea mtoto wake kinyume cha maadili ni wajibu kumkumbusha. Huko si.kuingilia. Haya mashirika ya kimataifa hayajaja nchini kwa kutaka tu bali ni makubaliano ya kimataifa na yanafanya kazi kutokana na mikataba ya kimataifa ambayo nyinyi nayo mumeikubali.
 
This was expected
 
"Amesema ni marufuku ofisi yoyote ya CCM kufanya kazi na taasisi za kimataifa zisizokua na uhusiano na chama hicho"

Mhh! Nahisi daktari kwa hapo ulimi uliteleza, kwa deni hili la taifa linalokua kwa kasi kila uchwao! Hapana na haiwezekani.
 
Yuko sahihi Bashiru kwani hayo mashirika hayana mamlaka ya kuingilia chaguzi zetu za ndani.
 
Yuko sahihi Bashiru kwani hayo mashirika hayana mamlaka ya kuingilia chaguzi zetu za ndani.
Wao wanaingilia ili kuepusha viashiria vya uvunjifu Wa amani vitakavochochea vurugu ambayo wao ndo wataingia tena gharama kuzituliza hivo vurugu.Watawala wa kiafrica wawezacho ni kuzalisha wakimbizi na wahamiaji haramu na sio kuhudumia wakimbizi.Wakimbizi ni mzigo kwa dunia.Kinga ni bora kuliko tiba sisi si kisiwa na sehemu ya dunia
 
Huyu nae eti ana PhD. Hakuna mashirika ya kimataifa yanayoingilia mambo yetu ya ndani. Tuli sign wenyewe masharti ya kufuata ili tuwe members wa hayo mashirika. Ili uwe member wa UN unatakiwa ulinde haki za binadamu, usipofuata lazima uulizwe maana ulijiunga mwenyewe UN bila shuruti. Kama tunaona wanatuingilia na hatuwezi kufuata masharti yake tujitoe tu kama uingereza aliyofanya EU. Tujitoe kila mahali tuliposign vinginevyo kama hatuheshimu demokrasia tuliyoahidi kufuata lazima tutaambiwa hata tukinuna, na kwa kauli za kejeli wanazotoa viongozi sitashangaa rungu la vikwazo likituangukia
 
Tutakuwa Taifa la kwanza Africa kuwatisha US na UK...wacha tuone muda bado upo..
Mikwara mbuzi hata nyerere aliwabeza mabeberu akiamini anawezasimama bila wao,alipotaka kupinduliwa akawaomba msaada mabeberu aliowananga wakamsaidia kubaki madarakani alipopigwa njaa hao hao aliowananga akawaomba chakula wakampa mahindi lishe ugali wa dona la yanga na maziwa watu wakashiba.Huwa wanajimwambafy kufurahisha baraza sawa na mtoto kumpiga mkwara baunsa
 
Huyu ku

Huyu bwana atafukuzwa ukatibu mkuu kwa aibu Sikh si nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…