Dk. Bashiru ayaonya mashirika ya kimataifa kuacha kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania

Ndio maana mnazinajisi hizo chaguzi kisa hakuna wa kuwahoji?
Wanajisahaulisha kwamba ni haohao wanaowafadhili fedha za chaguzi....
Kweli nimeamini MSWAHILI AKISHIBA LAZIMA "ACHAFUE HEWA"
 

Tofauti na yaliyoandikwa. Hivi hili gazeti halina mhariri mkuu?
Au wanakuwa na haraka sana ya kulichapa?
Hivi ni 'Kalipio' au"Karipio"?
Hivi ni 'Umbumbu' au "umbumbumbu"?
Asubuhi njema
 
Ukitaka kumjua mtu mpe uongozi wa kukaimu tu utamjua, CCM wanakurupuka na kumpa mtu madaraka ya kudumu
 
Hyo ndio CCM mpya ya Bashiru. Jamaa limelewa cheo linatoa mapovu tu
 
Jamani!mbona Bashiru alikua smart sana upstairs?nini kimemkumba?!had nimemuonea huruma!
Kuna taarifa zinasema mtu yeyote akijiunga na CCM au akipewa madaraka ndani ya CCM huwa wanaondolewa akili ambazo huhifadhiwa kwenye friji maalum lililopo kwenye chumba Cha Siri ofisi za Lumumba na Kisha hurudishiwa wakifukuzwa,wakistaafu ama wakiondoka.
 


Nimeipenda hii mzee baba!
 
Tulivyo maskini hivi na tunavyowategemea kwa kila kitu British na USA tunawaita mabeberu na viherehere kiufupi tumeshindwa kuficha Tanzania ni nchi ya aina gan
Kwanini kiongozi?
 
CCM haifanyi kazi na hizo taasisi bali serikali ya CCM.
acheni CCM wafanye siasa zao na nyinyi endelezeni ujinga wenu mitandaoni.
Wewe ndio umeonyesha ujinga wako kwa kutoa jibu kama hilo. Aisee, so you guys ndio mlioko huko CCM? Mungu inusuru hii nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…