Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni muhimu sana kuzingatia mawaidha yake gentleman 🐒mzee lwaitama yuko kwenye kuamini falsafa ya chama ni cha mtu siyo cha wananchi na wanachama
Money talk everywhereMan'gana ghasarikile.
Dk. Lwaitama asema hayo wakati akihojiwa na SAUTi DIGITAL. Kwamba uongozi wa chama ni suala nyeti zaidi ya kupendwa tu. Dk. Lwaitama alieleza kwamba kama ni kupendwa, Diamond Platinum anapendwa kuliko hata Lissu lakini huwezi kumpa uongozi wa chama.
Dk. Lwaitama alisema kwamba unaweza kuwa mchambuzi mzuri tu, lakini haukidhi kuwa kiongozi Mkuu wa chama.
Dk. Lwaitama amewataka wajumbe waangalie vigezo vya msingi, wasiongozwe na mihemuko wakachagua mtu ambaye chama kikipata dharura ya fedha, yeye hana hata mia, hata gari hana, hivyo chama kinaweza kuyumba.
Dk Lwaitama alisema kama hoja ni kumuondoa mtu aliyekaa muda mrefu, hata Lissu amekaa zaidi ya miaka 15 katika nafasi za juu, kwa hiyo kama ni hoja ya kubadili uongozi, hata Lissu inamgusa kwa kuwa amekaa muda mredu, na kwamba watu wapya ni Odero au Mapunda.
View attachment 3190522
Lwaitama yuko sahihiDR Lwaitama anataka kiongozi mwenye hela hata chama kikiyumba kifedha anaweza kuingia mfukoni mwake hapa anamanisha kama huna hela huwezi kuongoza chama, kigezo cha kupendwa na wanachama sio kipaumbele sana...kigezo cha kukaa muda mrefu kwenye uongozi yeye haoni kama ni shida...anamfananisha lisu na Diamond kwenye siasa huku mmoja ni mwanasiasa na mwingine ni msanii wa mziki...Hizi hoja hazina mashiko kabisa.
Acha nijifunze kuvumiliana hata na mataahiraKupendwa sio hoja, uwe unaelewa
unadhani mwenye fedha ya kukiongoza chama ukimtoa lisu na Mbowe?Lwaitama yuko sahihi
Tunashangaa kamkaanga shosti wake live.Alikuwa anaenda wapi
HahahahaKwa Dkt hajui Diamond ni kiongozi wa Wasafi?
Hii post nimeipenda sana.Man'gana ghasarikile.
Dk. Lwaitama asema hayo wakati akihojiwa na SAUTi DIGITAL. Kwamba uongozi wa chama ni suala nyeti zaidi ya kupendwa tu. Dk. Lwaitama alieleza kwamba kama ni kupendwa, Diamond Platinum anapendwa kuliko hata Lissu lakini huwezi kumpa uongozi wa chama.
Dk. Lwaitama alisema kwamba unaweza kuwa mchambuzi mzuri tu, lakini haukidhi kuwa kiongozi Mkuu wa chama.
Dk. Lwaitama amewataka wajumbe waangalie vigezo vya msingi, wasiongozwe na mihemuko wakachagua mtu ambaye chama kikipata dharura ya fedha, yeye hana hata mia, hata gari hana, hivyo chama kinaweza kuyumba.
Dk Lwaitama alisema kama hoja ni kumuondoa mtu aliyekaa muda mrefu, hata Lissu amekaa zaidi ya miaka 15 katika nafasi za juu, kwa hiyo kama ni hoja ya kubadili uongozi, hata Lissu inamgusa kwa kuwa amekaa muda mredu, na kwamba watu wapya ni Odero au Mapunda.
View attachment 3190522
kikwete wakati anataka kutia nia, mkapa alitaka kutia ngumu, wakamwambia mkapa huyu mtu anapendwa sana na JWT(JUMUIYA YA WANAWAKE)Demokrasia inataka watu waongozwe na mtu wanayempenda.
Kupendwa ni hoja namba Moja ya demokrasia na mtu kuwa kiongozi
Huyu "MBONA WEWOOOOO" anakwenda kukiua chama. DJ pamoja na mapungufu yake lakini ana Haiba ya uongozi wenye msingi wa HEKIMA NA BUSARA sana. CDM rejesheni DJ pigeni chini Mbona wewoooDr anaendelea kudhihirisha kuwa 2020 hakuna kura ya CHADEMA iliyoibiwa katika uchaguzi wa Uraisi,isipokuwa hata CHADEMA wenyewe walijua kabisa kuwa walikuwa wamempa mtu kijiti ambae hafai kuwa kiongozi,vinginevyo Dr afute kauli yake,pia Dr ajue kila mtu anapendwa kulingana na sekta au eneo lake ,sasa kuMlinganisha Diamond na Lisu , hii haipo sawa kabisa,Lisu mwanasiasa,Ukimpandisha Kwenye jukwaa la muziki hatopendwa kwa sababu siyo eneo lake hilo,Diamond msanii ukimpandisha kwenye jukwaa la muziki atapendwa kwa kuwa ndio eneo lake, lakini Diamond anaongoza taasisi kama Wasafi moja ya taasisi zinazofanya vyema na kutengeneza ajira,ila siyo ajira ya kisiasa
Mwenye akili awez kumuunga mkono mtu kama LiSU bahati nzuli tumemjua vizuli kabla ya uchaguzi wowote yule abaki Wakili ndiio kazi inayomfaaa kutetea watu ila uhongozi apana atachekesha watu ataumiza watu. Atakamua watu na mikodi kibao!!.mzee Lwaitama anajitahidi sana leo kueleza ukweli![]()