Kwani kumetokea nni huko Dasalama?Wote hao Dini moja, haiwezi leta taharuki nchini
Kwa nn ujifiche jitokeze tupambane naoOngea kidogo wengine tumejificha huku tunaogopa panyarodi
Nenda mwenyeweKwa nn ujifiche jitokeze tupambane nao
DoooohOngea kidogo wengine tumejificha huku tunaogopa panyarodi
Namshauri Dk mwaka aombe radhi tu, hakuna atakachopungukiwa. Analeta malumbano yasiyo na msingi.
Namshauri Mkuu wa Mkoa amwite na kumnasaha aombe radhi, ikishidikana RPC amwite kwa mahojiano, maana analeta viashiria vya uvunjifu wa amani nchini. Ahojiwe,labda anatumika na kundi ambalo haliitakii mema nchi yetu
Afadhali umeulizaKafanya nini?sis tulio huku Nanjilinji hatujapata habari