chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Namshauri Dk mwaka aombe radhi tu, hakuna atakachopungukiwa. Analeta malumbano yasiyo na msingi.
Namshauri Mkuu wa Mkoa amwite na kumnasaha aombe radhi, ikishidikana RPC amwite kwa mahojiano, maana analeta viashiria vya uvunjifu wa amani nchini. Ahojiwe,labda anatumika na kundi ambalo haliitakii mema nchi yetu