Dk. Mwaka, tumia busara kidogo, namshauri RPC au RC wamuite na kumtaka aombe radhi, hii amani imepatikana kwa gharama

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Namshauri Dk mwaka aombe radhi tu, hakuna atakachopungukiwa. Analeta malumbano yasiyo na msingi.

Namshauri Mkuu wa Mkoa amwite na kumnasaha aombe radhi, ikishidikana RPC amwite kwa mahojiano, maana analeta viashiria vya uvunjifu wa amani nchini. Ahojiwe,labda anatumika na kundi ambalo haliitakii mema nchi yetu
 
Aombe msamaha kwalipi. Mbona Dk mwaka yupo sahihi kabisa
 
Shehe ubwabwa njaa nyingi halafu wengi vilaza japo mwaka kilaza ila smart kichwani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sielewi, huu uzi hauna afya bila ufafanuzi, au HK kamuibukia tena Dr mwaka?
 
Back
Top Bottom