Dkt. Aaron Mujajati: Ni ngumu kwa mwanamke kupata watoto baada ya miaka 35

Asante kwa pole.
Aliolewa mdogo sana, mimi nikiwa kama first born nakumbuka mama yangu alikuwa bado anaenda kucheza ile michezo ya watoto anaenda na mimi.

Mimi nina zaidi ya miaka 20 na hapa nilishaondoka nyumbani kwa sababu ya kulazimisha niolewe tangu miaka 17.
Hahaha nime cheka hapo mlipo kuwa mna enda kucheza(kumbukumbu nzuri),

hahaha sema hiyo hesabu ya umri ina nichangaya bado, ushavuka 26?

Halafu why ukimbie si una sema tu sitaki?
 
Kumbukumbu nzuri ila kwa sasa ninaitafsiri tofauti. Naona alidhulumiw utoto wake. Mimi sijafika hata 25.

Hapana sijakimbia nyumbani, niliondoka. Kukimbia na kuondoka ni tofauti. Kukataa kuolewa ni sawa lakini utakaa nyumbani bila kufanyiwa chochote kama kusoma nk. wakati huo ndio nimemaliza form 4 na ninataka kusoma bado
 
Pole kwa kumbukumbu hiyo, ila ina paswa uishinde maana kila mtu ana jambo asilo penda akumbuke.

Sema nyinyi mme zidi ukali, mimi nime pigiwa kelele ya kuoa since nikiwa 21 na sija fanya hivyo.
(Ila hakuna shida kihivyo, wana heshimu uamuzi wangu).

Aisee ni kheri uondoke kwa utaratibu huo, lakini mzee si yupo?
 
Msingi wa kulazimisha mtu kuoa au kuolewa wa ovyo sana. Kwahiyo wewe unataka uoe ukifika 40?

Baba mzazi yupo tena siku hizi anajikuta ndio anajua ana mtoto anakazana kufanya majukumu ya baba ambayo hakuyafanya sijui anakaribia kufa.🤣🤣
 
Miaka 18 mtu anakuwana watoto hata wawili au watatu. Halafu uwe na miaka 20 haujaolewa au huna mtoto utakoma.
Hahaha, miaka 18 una watoto wawili-watatu..noma sana!
Kwa hiyo mama mazazi(marehemu) angekuwa hai angekuwa 38 this Yr, manake alikuzaa akiwa mdogo sana!
 
Msingi wa kulazimisha mtu kuoa au kuolewa wa ovyo sana. Kwahiyo wewe unataka uoe ukifika 40?

Baba mzazi yupo tena siku hizi anajikuta ndio anajua ana mtoto anakazana kufanya majukumu ya baba ambayo hakuyafanya sijui anakaribia kufa.🤣🤣
Mzee Itakuwa nafsi ina msuta, kuwa dogo hashindwi.

nime cheka Sana, hapana sisubiri 40, ni vile mimi niko complicated kidogo.
Ila nita oa.

Ila niki kosa kabisa, nita kuijia 2027 kwa mzee 😂😂
 
Hahaha, miaka 18 una watoto wawili-watatu..noma sana!
Kwa hiyo mama mazazi(marehemu) angekuwa hai angekuwa 38 this Yr, manake alikuzaa akiwa mdogo sana!
Alikuwa mdogo halafu akaolewa na mume mkubwa tena mke wa ngapi sijui. Mimi huo ujinga siutaki.
Kweli mama yangu nakumbuka alikuwa bado anaenda kucheza mchezo unavurugika wanapigana wanakimbizana🤣🤣🤣mimi na mama tunatoka mwendo huo
 
Mzee Itakuwa nafsi ina msuta, kuwa dogo hashindwi.

nime cheka Sana, hapana sisubiri 40, ni vile mimi niko complicated kidogo.
Ila nita oa.

Ila niki kosa kabisa, nita kuijia 2027 kwa mzee 😂😂
Siku zote alikuwa wapi anataka anizoee sasa hivi umri umeenda magonjwa kibao ili nianze kumpenda ndio afariki niumie. Mimi sitaki.

Kwanini ipo complicated?
 
Sio kweli kanisani kwetu mwaka jana waliolewa wadada wawili ni 40+ ila mwaka huu wote wamebeba mimba na wamejifungua salama. Na mind you hawakuwa na mtoto kabla ya hapo. Nadhani ni suala la maumbile zaidi kuliko umri maana wapo watoto wa elfu mbili ila kila mimba wanayobeba inatoka
 
Siku zote alikuwa wapi anataka anizoee sasa hivi umri umeenda magonjwa kibao ili nianze kumpenda ndio afariki niumie. Mimi sitaki.

Kwanini ipo complicated?
wanaume kuna muda tuna fanya maamuzi, halafu baade tuna jutia na kuumizwa na misimamo hiyo(probably mzee wako ana feel hivyo).

First promise uta ongea nae hata mara tatu kwa mwezi, halafu nita kwambia why iko complicated.
 
I
Siku zote alikuwa wapi anataka anizoee sasa hivi umri umeenda magonjwa kibao ili nianze kumpenda ndio afariki niumie. Mimi sitaki.

Kwanini ipo complicated?
feel your pain, hongera sana kwa kujitambua, simamia maono yako, you're the change, be the change you want to see!
But nakuomba msamehe tu mzee
 
Nasikia ni kweli maana nina kaka yangu Dr alikuwa anamwambiaga dada azae mapema uzazi salama mwisho 35yrs, sasa hivi dada ana 33 kashazaa lakini
 
Yupo sahihi
Kama hutaki kajaribu utakata kiuno hadi upate ganzi ya makende
 
I

feel your pain, hongera sana kwa kujitambua, simamia maono yako, you're the change, be the change you want to see!
But nakuomba msamehe tu mzee
I've already experienced the pain of losing a loved one, and it was very traumatic and I'm so glad that moment is over. I don't want to go through that same pain again especially not for someone who wasn't a father to me when I needed him most.

He's selfish, he's only looking for me now that he's sick so he can get peace of mind. He wants to prepare me to experience another pain that I don't deserve. What a selfish man😔
 
Back
Top Bottom