Dkt. Aaron Mujajati: Ni ngumu kwa mwanamke kupata watoto baada ya miaka 35

Dkt. Aaron Mujajati: Ni ngumu kwa mwanamke kupata watoto baada ya miaka 35

Sasa kwann haujamrejea kuomba tena pengine anaweza kubali ombi lako.

Hebu ngoja kwanza,umesema ana miaka 38?🤔

Aaaah hiyo hapana haifai.
Mimi tayari niko kwenye penzi zito na mwanamke mwingine.
 
Msanii Rosaree naona anajitahidi sana kuwapa watoto wa kike elimu kule kuwa wasikane kuwa chini ya mwanaume na wasiache kutambua nafasi ya mwanaume. Nimemkubali sana yule dada.
Watoto wa kike wengi wanapotea kwa sababu ya kupotoshana na kupeana ushauri mbaya wakiwa kwenye vikao vyao uko magetoni, saluni, viwanja n.k

Mimi sina mtoto wala mdogo wa kike lakini kuna watoto wa ndugu zangu ambao ni mabinti wakubwa mara zote huwa nawasisitiza wasifuate ushauri wa feminists, na hata wakiona anko wao nawazingua basi kwenye suala la mahusiano watafute ushauri wa viongozi wa dini au mwanamke mtu mzima ambae yupo kwenye ndoa iliyodumu miaka mingi, sio mashoga zao ambao ni single mother, superstar kila club ya mjini na asiekua na mahusiano yanayoeleweka
 
Back
Top Bottom