Dkt. Aaron Mujajati: Ni ngumu kwa mwanamke kupata watoto baada ya miaka 35

Dkt. Aaron Mujajati: Ni ngumu kwa mwanamke kupata watoto baada ya miaka 35

Sio kweli kanisani kwetu mwaka jana waliolewa wadada wawili ni 40+ ila mwaka huu wote wamebeba mimba na wamejifungua salama. Na mind you hawakuwa na mtoto kabla ya hapo. Nadhani ni suala la maumbile zaidi kuliko umri maana wapo watoto wa elfu mbili ila kila mimba wanayobeba inatoka
😀😀 Miaka 40 + bado walikuwa ni wadada tu... kweli cheo kizuri hicho kwao
 
I've already experienced the pain of losing a loved one, and it was very traumatic and I'm so glad that moment is over. I don't want to go through that same pain again especially not for someone who wasn't a father to me when I needed him most.

He's selfish, he's only looking for me now that he's sick so he can get peace of mind. He wants to prepare me to experience another pain that I don't deserve. What a selfish man😔
Be gracious. Huenda amegundua alikosea. Forgive him, talk to him, and be that shining light to him as he approaches the end of his life. Utabarikiwa. No human is perfect. We are all always a work in progress.
 
It sounds like a good idea, acha nilifanyie kazi. thank you
 
Asante kwa pole.
Aliolewa mdogo sana, mimi nikiwa kama first born nakumbuka mama yangu alikuwa bado anaenda kucheza ile michezo ya watoto anaenda na mimi.

Mimi nina zaidi ya miaka 20 na hapa nilishaondoka nyumbani kwa sababu ya kulazimisha niolewe tangu miaka 17.
Ukosema unakaribia 30 utapungukiwa nini?
 
Inategemea mkuu. Kuna ambao hawataki kupata mtoto nje ya ndoa. Wanataka waolewe kwanza ndo mtoto apatikane. Kuna msichana alinikataa tukiwa na miaka 23 leo hii ana 38yrs anakesha kwenye maombi ya kupata mume.
Wanawake wa hivyo sio kwamba hawakua na access ya kupata ndoa wakiwa uko kwenye 20's, isipokua huwa wanataka mwanaune ambae sio wa daraja lao, na ukweli mchungu ambao hawataki kukubaliana nao ni kwamba hao wanaume wa daraja wanalolitaka wao hawawataki. Ndipo utasikia malalamiko ya wanawake "hakuna waoaji", kumbe tatizo ni delusional entitlement yake ya kutaka mume ambae sio wa level yake.
 
“This is not to scare you. It’s to empower you with knowledge so you can make informed choices. Society often tells women, 'Focus on your career now, you can start a family anytime.' The truth is, for those who want children, delaying too long can lead to heartbreak.”

He shared that most career women in their 30s were struggling with loneliness or infertility they never expected.

“I have sat with patients who have thriving careers, beautiful homes, and financial security, but are battling loneliness or struggling with infertility they never anticipated. You can have both but it takes planning.”

“Clarify your priorities early. Ask yourself: Do I want children? Marriage? A life partner? If the answer is yes, factor that into your life plan as seriously as you would a promotion or degree,” he stated.
Dokta kagusa point ya muhimu sana hapa. Feminism imewaamanisha wanawake kwamba wanatakiwa kuchagua kimoja kati ya familia na career, na mara zote feminist wanapendekeza mwanamke achague career. Kitu ambacho sio cha kweli, mwanamke anaweza kupangalia maisha yake na career na familia vyote vikaenda sambamba.

Narrative nyingine ambayo feminism imewezesha kualibu akili za wanawake, ni kuwapandikiza fikra kwamba mwanamke kuwa na kipato au elimu na mwanamke kuwa mke bora ni vitu viwili ambavyo haviwezi kwenda sambamba. Ndio maana hata hao career women sio kwamba hawaolewagi mapema, isipokua wengi wao ndoa zao hazidumu kwa sababu ya kuchotwa akili na iyo narrative. Career woman anaweza kuwa mke bora kama akijua wajibu na mipaka yake kama mke ndani ya nyumba
 
Kweli kabisa mkuu. Nikitolea mfano wa mwanamke aliyenikataa kwenye 20s ni kuwa yule manzi aliendelea kusoma hadi masters na kwa sasa anasoma masters nyingine. Kiukweli kiuchumi yuko vizuri anafanya kazi kwenye malisho mazuri. Lakini kwa umri na attitude yake ni ngumu mwanaume mwenye akili timamu za kiume kuwa naye. Wasomi wana ile tabia ya kuku-challenge hata kwenye maongezi mkaishia kubishana. So, wengi hugonga na kusepa.
 
Wasomi wana ile tabia ya kuku-challenge hata kwenye maongezi mkaishia kubishana. So, wengi hugonga na kusepa.
Feminism imewaaminisha kwamba wanatakiwa kusoma na kujitegemea ili waweze kuonyeshana umwamba na mwanaume, sio wawe mshirika wa mwanaume. Ndio hapo mwanamke baada ya kusoma na kupata kazi anaona hatua inayofuata ni kushindana na mwanaume
 
Inategemea mkuu. Kuna ambao hawataki kupata mtoto nje ya ndoa. Wanataka waolewe kwanza ndo mtoto apatikane. Kuna msichana alinikataa tukiwa na miaka 23 leo hii ana 38yrs anakesha kwenye maombi ya kupata mume.
Sasa kwann haujamrejea kuomba tena pengine anaweza kubali ombi lako.

Hebu ngoja kwanza,umesema ana miaka 38?🤔

Aaaah hiyo hapana haifai.
 
Mama yangu (marehemu) angekuwa bado yupo mwaka huu angekuwa na miaka 38. Mtu akifikisha miaka 20 anakuwa amemaliza mambo ya uzazi ni kulea tu au azae mziwanda wakeatulie.
Kuna wanawake wenzako hawatakuelewa hapa
 
Feminism imewaaminisha kwamba wanatakiwa kusoma na kujitegemea ili waweze kuonyeshana umwamba na mwanaume, sio wawe mshirika wa mwanaume. Ndio hapo mwanamke baada ya kusoma na kupata kazi anaona hatua inayofuata ni kushindana na mwanaume
Msanii Rosaree naona anajitahidi sana kuwapa watoto wa kike elimu kule kuwa wasikane kuwa chini ya mwanaume na wasiache kutambua nafasi ya mwanaume. Nimemkubali sana yule dada.
 
Wanawake wa hivyo sio kwamba hawakua na access ya kupata ndoa wakiwa uko kwenye 20's, isipokua huwa wanataka mwanaune ambae sio wa daraja lao, na ukweli mchungu ambao hawataki kukubaliana nao ni kwamba hao wanaume wa daraja wanalolitaka wao hawawataki. Ndipo utasikia malalamiko ya wanawake "hakuna waoaji", kumbe tatizo ni delusional entitlement yake ya kutaka mume ambae sio wa level yake.
They don't want to build together wanataka ready made Goods, ... Hawataki Raw material ..
 
Back
Top Bottom