Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Hahaha nime cheka hapo mlipo kuwa mna enda kucheza(kumbukumbu nzuri),Asante kwa pole.
Aliolewa mdogo sana, mimi nikiwa kama first born nakumbuka mama yangu alikuwa bado anaenda kucheza ile michezo ya watoto anaenda na mimi.
Mimi nina zaidi ya miaka 20 na hapa nilishaondoka nyumbani kwa sababu ya kulazimisha niolewe tangu miaka 17.
Kumbukumbu nzuri ila kwa sasa ninaitafsiri tofauti. Naona alidhulumiw utoto wake. Mimi sijafika hata 25.Hahaha nime cheka hapo mlipo kuwa mna enda kucheza(kumbukumbu nzuri),
hahaha sema hiyo hesabu ya umri ina nichangaya bado, ushavuka 26?
Halafu why ukimbie si una sema tu sitaki?
Pole kwa kumbukumbu hiyo, ila ina paswa uishinde maana kila mtu ana jambo asilo penda akumbuke.Kumbukumbu nzuri ila kwa sasa ninaitafsiri tofauti. Naona alidhulumiw utoto wake. Mimi sijafika hata 25.
Hapana sijakimbia nyumbani, niliondoka. Kukimbia na kuondoka ni tofauti. Kukataa kuolewa ni sawa lakini utakaa nyumbani bila kufanyiwa chochote kama kusoma nk. wakati huo ndio nimemaliza form 4 na ninataka kusoma bado
Msingi wa kulazimisha mtu kuoa au kuolewa wa ovyo sana. Kwahiyo wewe unataka uoe ukifika 40?Pole kwa kumbukumbu hiyo, ila ina paswa uishinde maana kila mtu ana jambo asilo penda akumbuke.
Sema nyinyi mme zidi ukali, mimi nime pigiwa kelele ya kuoa since nikiwa 21 na sija fanya hivyo.
(Ila hakuna shida kihivyo, wana heshimu uamuzi wangu).
Aisee ni kheri uondoke kwa utaratibu huo, lakini mzee si yupo?
Man, inaumaSuccess is sweetest when you have someone to share it with
Hahaha, miaka 18 una watoto wawili-watatu..noma sana!Miaka 18 mtu anakuwana watoto hata wawili au watatu. Halafu uwe na miaka 20 haujaolewa au huna mtoto utakoma.
Mzee Itakuwa nafsi ina msuta, kuwa dogo hashindwi.Msingi wa kulazimisha mtu kuoa au kuolewa wa ovyo sana. Kwahiyo wewe unataka uoe ukifika 40?
Baba mzazi yupo tena siku hizi anajikuta ndio anajua ana mtoto anakazana kufanya majukumu ya baba ambayo hakuyafanya sijui anakaribia kufa.🤣🤣
Alikuwa mdogo halafu akaolewa na mume mkubwa tena mke wa ngapi sijui. Mimi huo ujinga siutaki.Hahaha, miaka 18 una watoto wawili-watatu..noma sana!
Kwa hiyo mama mazazi(marehemu) angekuwa hai angekuwa 38 this Yr, manake alikuzaa akiwa mdogo sana!
Siku zote alikuwa wapi anataka anizoee sasa hivi umri umeenda magonjwa kibao ili nianze kumpenda ndio afariki niumie. Mimi sitaki.Mzee Itakuwa nafsi ina msuta, kuwa dogo hashindwi.
nime cheka Sana, hapana sisubiri 40, ni vile mimi niko complicated kidogo.
Ila nita oa.
Ila niki kosa kabisa, nita kuijia 2027 kwa mzee 😂😂
wanaume kuna muda tuna fanya maamuzi, halafu baade tuna jutia na kuumizwa na misimamo hiyo(probably mzee wako ana feel hivyo).Siku zote alikuwa wapi anataka anizoee sasa hivi umri umeenda magonjwa kibao ili nianze kumpenda ndio afariki niumie. Mimi sitaki.
Kwanini ipo complicated?
feel your pain, hongera sana kwa kujitambua, simamia maono yako, you're the change, be the change you want to see!Siku zote alikuwa wapi anataka anizoee sasa hivi umri umeenda magonjwa kibao ili nianze kumpenda ndio afariki niumie. Mimi sitaki.
Kwanini ipo complicated?
Mtongoze tenaInategemea mkuu. Kuna ambao hawataki kupata mtoto nje ya ndoa. Wanataka waolewe kwanza ndo mtoto apatikane. Kuna msichana alinikataa tukiwa na miaka 23 leo hii ana 38yrs anakesha kwenye maombi ya kupata mume.
Watu mna vichwa vigumu mno kuelewa.SI WOTE MPAKA 40 WANAPATA UJAUZITO
Sawa nitaongea naye. haya niambie ni kwa niniwanaume kuna muda tuna fanya maamuzi, halafu baade tuna jutia na kuumizwa na misimamo hiyo(probably mzee wako ana feel hivyo).
First promise uta ongea nae hata mara tatu kwa mwezi, halafu nita kwambia why iko complicated.
I've already experienced the pain of losing a loved one, and it was very traumatic and I'm so glad that moment is over. I don't want to go through that same pain again especially not for someone who wasn't a father to me when I needed him most.I
feel your pain, hongera sana kwa kujitambua, simamia maono yako, you're the change, be the change you want to see!
But nakuomba msamehe tu mzee