Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 5,182
- 9,586
Hakika kiongozi .. Kupata mtoto Mwenye down syndrome at that age the rate is Here high... Kwa scale ya one to ten ... Rate ni 7/10Wanataka kutuharibia jamii kwa mizaha ya kijinga kabisa.
Mimi tayari niko kwenye penzi zito na mwanamke mwingine.Sasa kwann haujamrejea kuomba tena pengine anaweza kubali ombi lako.
Hebu ngoja kwanza,umesema ana miaka 38?🤔
Aaaah hiyo hapana haifai.
Watoto wa kike wengi wanapotea kwa sababu ya kupotoshana na kupeana ushauri mbaya wakiwa kwenye vikao vyao uko magetoni, saluni, viwanja n.kMsanii Rosaree naona anajitahidi sana kuwapa watoto wa kike elimu kule kuwa wasikane kuwa chini ya mwanaume na wasiache kutambua nafasi ya mwanaume. Nimemkubali sana yule dada.
Hapo sawa MkuuBasi niwaite mishangazz 🤣
Nitakuwa nascreen shot😝si sawa tu ya kusema sawa ya mdomo, ina takiwa kutoka moyoni.
Nimependa unavyomconfortwanaume kuna muda tuna fanya maamuzi, halafu baade tuna jutia na kuumizwa na misimamo hiyo(probably mzee wako ana feel hivyo).
First promise uta ongea nae hata mara tatu kwa mwezi, halafu nita kwambia why iko complicated.
More love, less egoNimependa unavyomconfort
Sana