King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Idadi haijatimia bado hadi wanneAlikuwa hajaoa au ndoa ya pili?
Labda kwasababu wanaonekana na watu wengi wao tu washindwe kuchagua watu wamaanaHongera zake
Wanawake wanaofanya kazi za kuonekana kama media, u miss, music, waigizaji etc huwa wana bahati ya kuolewa na maboss
Na wengi wao ndoa zao hazidumu!.Hongera zake
Wanawake wanaofanya kazi za kuonekana kama media, u miss, music, waigizaji etc huwa wana bahati ya kuolewa na mabosi
Bila shaka ni mke wa PiliKatibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dr. Abbasi amefunga ndoa na Mtangazaji wa Clouds FM Mamy Baby.
View attachment 2463467
[emoji38][emoji38][emoji38]Duh kumbee ndio maana Hawa mabint wanatusumbua Sana kumbee vigogo wa serekalin ndio wanawapasua sasa hako kabinti Kweli ndio alikuwaa anapasuliwa na Dr abbas
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wamefungia TaboraKatibu Mkuu huyo wa Wizara ya Utamaduni na michezo leo ameonekana hadharani akifunga ndoa na Mwanamke anayejulika kwa jina la Mammy baby , ambaye inasemekana ni Mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha XXL
Haijulikani mahali ilikofungwa ndoa hiyo wala ukumbi kutakakokuwa na Sherehe za Harusi hiyo .
Pia haijajulikana kama ni ndoa ya kwanza , ya pili au ya tatu .
Tunawatakia kila la heri
Hongera zake
Wanawake wanaofanya kazi za kuonekana kama media, u miss, music, waigizaji etc huwa wana bahati ya kuolewa na mabosi
Kapuya Alikuwepo Hapo?Wamefungia Tabora
Kipunga tushakikosa dah[emoji3]Asante kwa taarifa , vipi kuhusu ukumbi kitakapoliwa kipunga , biriani au pilau ?
Acha uchokozi.Kapuya Alikuwepo Hapo?
Nyie wote si madokta😂 wewe na AbbasDuh kumbee ndio maana Hawa mabint wanatusumbua Sana kumbee vigogo wa serekalin ndio wanawapasua sasa hako kabinti Kweli ndio alikuwaa anapasuliwa na Dr abbas
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mbona ya Luiza Mbutu imedumu?Na wengi wao ndoa zao hazidumu!.