Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

Hongera zake

Wanawake wanaofanya kazi za kuonekana kama media, u miss, music, waigizaji etc huwa wana bahati ya kuolewa na maboss
Labda kwasababu wanaonekana na watu wengi wao tu washindwe kuchagua watu wamaana
 
Katibu Mkuu huyo wa Wizara ya Utamaduni na michezo leo ameonekana hadharani akifunga ndoa na Mwanamke anayejulika kwa jina la Mammy baby , ambaye inasemekana ni Mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha XXL

Haijulikani mahali ilikofungwa ndoa hiyo wala ukumbi kutakakokuwa na Sherehe za Harusi hiyo .

Pia haijajulikana kama ni ndoa ya kwanza , ya pili au ya tatu .

Tunawatakia kila la heri
Wamefungia Tabora
 
Hongera zake

Wanawake wanaofanya kazi za kuonekana kama media, u miss, music, waigizaji etc huwa wana bahati ya kuolewa na mabosi

Kutokana na public exposure waliyonayo. Angekuwa moro kati huko ndani ndani asingeonekana.
Anyway hongera kwake
 
Back
Top Bottom