Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

😂🤣😂😂😂😂😂
Dahh.. mkuu unaripoti kishambenga hatariii..
 
Napenda Sana wanawake wenye majina ya Kibantu 'Mkuwe Issale'
 
Pesa za kutambia mujini na kuringishia pete kidoleni. Kila picha kidole kinakuwa kimenyanyuliwa kiaina pete zionekane
Hivi nyinyi wanawake hela ziliwaloga.. mbona mnafanya mambo ya ajabu sana mkiona peesaaa .. pesaa pesaaa...
 
Mamy baby kaamua kuacha mkuyengee kafuata mahela .....

Pesa ndio kila kitu mazee ...


Hata kama unampelekea moto mwanamke Kwa bed Kama huna pesa wewe ni mbwa tu [emoji3][emoji3][emoji3]
Ni aibu ..
 
Kwa Wakristo, kwenye ibada ya ndoa, kuna kipengele cha kuvikana pete ,na ni baada ya hizo pete kubarikiwa. Kwa wenzetu, kuna utaratibu gani kwenye kuvikana pete?
Uislamu hauna taratibu zozote za kuvikana pete, na atakayefanya ameenda kinyume na mafundisho ya kiislamu na ameiga kwa wasiokuwa waislamu.
 
Safi vijana mnatangaza bado mpo mpo sana wazee wakioa mnalalamika itakua ndoa ya sita daah...wawe na Ndoa njema kwa maisha yao ..
 
Kaolewa juzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…