Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 988
Nawaonea huruma sana hawa mabwana wawili Dkt Hassan Abbas na Gerson Msigwa ambao kimsingi ni wapenzi wa mfumo wa Mwendazake, walifanya kazi katika viburi vikubwa sana. Walitoa majibu ya hovyo sana kila walipoulizwa na wanahabari kuhusu uhuru wa habari.
Leo hii wamekutana na aliyekuja juu yao ni muumini katika uhuru wa kujieleza ambaye mfumo wa Mwendazake ulimshinda kufuatia kujiuzulu abaki benchi. Navuta picha kuona jinsi Dkt Abbas anavyoteseka tena akiwa mtendaji wa Wiza ile ile baa ya kuona Magazeti ambayo sliyafungia yeye sasa yanafunguliwa tena bila masharti.
Msigwa baada ya Mtangulizi wake naye aliendeleza majibu yale yale ingawa naye hakushangaza sana kwakua alikuwa kipenzi cha Mwendazake,naye pia hakupenda mfumo wenye uhuru wa kujieleza. Leo hii sasa bosi wao ndani ya wizara ile ile anaelekeza magazeti yafunguliwe. Hawana la kufanya zaidi ya kutii amri tuu.
Kupitia haya yanayotokea naamini Dkt Abbas na Msigwa mnajifunza. Acheni hizi roho mtambue siku zote dunia ni duara.