sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Unachotakiwa kujua mleta mada, hawa wateule wayasemayo siyo hiari yao, kama haujagundua hilo basi wewe ni mtoto, mara ya mwisho kusikia mteule au mtumishi ameacha kazi kwa sababu ya kutofautiana na boss wake au mamlaka ilikuwa lini??? Hao walikuwa kama vipaza sauti.