Huyu Mimi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2019
- 2,575
- 2,117
Sahihi kabisa.Dkt. Abbas ni Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ahusiki na mambo ya habari....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa.Dkt. Abbas ni Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ahusiki na mambo ya habari....
Nape hajawahi kuwa muumini wa uhuru wa kujieleza, anachokifanya ni sawa na kupakua choo alichokinyea yeye tuNawaonea huruma sana hawa mabwana wawili Dkt Hassan Abbas na Gerson Msigwa ambao kimsingi ni wapenzi wa mfumo wa Mwendazake, walifanya kazi katika viburi vikubwa sana. Walitoa majibu ya hovyo sana kila walipoulizwa na wanahabari kuhusu uhuru wa habari.
Leo hii wamekutana na aliyekuja juu yao ni muumini katika uhuru wa kujieleza ambaye mfumo wa Mwendazake ulimshinda kufuatia kujiuzulu abaki benchi. Navuta picha kuona jinsi Dkt Abbas anavyoteseka tena akiwa mtendaji wa Wiza ile ile baa ya kuona Magazeti ambayo sliyafungia yeye sasa yanafunguliwa tena bila masharti.
Msigwa baada ya Mtangulizi wake naye aliendeleza majibu yale yale ingawa naye hakushangaza sana kwakua alikuwa kipenzi cha Mwendazake,naye pia hakupenda mfumo wenye uhuru wa kujieleza. Leo hii sasa bosi wao ndani ya wizara ile ile anaelekeza magazeti yafunguliwe. Hawana la kufanya zaidi ya kutii amri tuu.
Kupitia haya yanayotokea naamini Dkt Abbas na Msigwa mnajifunza. Acheni hizi roho mtambue siku zote dunia ni duara.
Nawaonea huruma sana hawa mabwana wawili Dkt Hassan Abbas na Gerson Msigwa ambao kimsingi ni wapenzi wa mfumo wa Mwendazake, walifanya kazi katika viburi vikubwa sana. Walitoa majibu ya hovyo sana kila walipoulizwa na wanahabari kuhusu uhuru wa habari.

Sijui kama ni mtazamo wangu tu. Lakini toka kipindi cha mwendazake nilimuona Nape kama moja ya mawaziri walioziweza vizuri wizara zao, akiwemo Lukuvi, Dr. Mwinyi (Ulinzi)Nawaonea huruma sana hawa mabwana wawili Dkt Hassan Abbas na Gerson Msigwa ambao kimsingi ni wapenzi wa mfumo wa Mwendazake, walifanya kazi katika viburi vikubwa sana. Walitoa majibu ya hovyo sana kila walipoulizwa na wanahabari kuhusu uhuru wa habari.
Leo hii wamekutana na aliyekuja juu yao ni muumini katika uhuru wa kujieleza ambaye mfumo wa Mwendazake ulimshinda kufuatia kujiuzulu abaki benchi. Navuta picha kuona jinsi Dkt Abbas anavyoteseka tena akiwa mtendaji wa Wiza ile ile baa ya kuona Magazeti ambayo sliyafungia yeye sasa yanafunguliwa tena bila masharti.
Msigwa baada ya Mtangulizi wake naye aliendeleza majibu yale yale ingawa naye hakushangaza sana kwakua alikuwa kipenzi cha Mwendazake,naye pia hakupenda mfumo wenye uhuru wa kujieleza. Leo hii sasa bosi wao ndani ya wizara ile ile anaelekeza magazeti yafunguliwe. Hawana la kufanya zaidi ya kutii amri tuu.
Kupitia haya yanayotokea naamini Dkt Abbas na Msigwa mnajifunza. Acheni hizi roho mtambue siku zote dunia ni duara.
Kwani hizo kazi wanafanya za nape au kwa mjibu wa taratibu na kanuni za wizara?Nawaonea huruma sana hawa mabwana wawili Dkt Hassan Abbas na Gerson Msigwa ambao kimsingi ni wapenzi wa mfumo wa Mwendazake, walifanya kazi katika viburi vikubwa sana. Walitoa majibu ya hovyo sana kila walipoulizwa na wanahabari kuhusu uhuru wa habari.
Leo hii wamekutana na aliyekuja juu yao ni muumini katika uhuru wa kujieleza ambaye mfumo wa Mwendazake ulimshinda kufuatia kujiuzulu abaki benchi. Navuta picha kuona jinsi Dkt Abbas anavyoteseka tena akiwa mtendaji wa Wiza ile ile baa ya kuona Magazeti ambayo sliyafungia yeye sasa yanafunguliwa tena bila masharti.
Msigwa baada ya Mtangulizi wake naye aliendeleza majibu yale yale ingawa naye hakushangaza sana kwakua alikuwa kipenzi cha Mwendazake,naye pia hakupenda mfumo wenye uhuru wa kujieleza. Leo hii sasa bosi wao ndani ya wizara ile ile anaelekeza magazeti yafunguliwe. Hawana la kufanya zaidi ya kutii amri tuu.
Kupitia haya yanayotokea naamini Dkt Abbas na Msigwa mnajifunza. Acheni hizi roho mtambue siku zote dunia ni duara.
Msigwa hawezi teseka jakaya ndio mtu wake sana toka akiwa TBC SONGEANawaonea huruma sana hawa mabwana wawili Dkt Hassan Abbas na Gerson Msigwa ambao kimsingi ni wapenzi wa mfumo wa Mwendazake, walifanya kazi katika viburi vikubwa sana. Walitoa majibu ya hovyo sana kila walipoulizwa na wanahabari kuhusu uhuru wa habari.
Leo hii wamekutana na aliyekuja juu yao ni muumini katika uhuru wa kujieleza ambaye mfumo wa Mwendazake ulimshinda kufuatia kujiuzulu abaki benchi. Navuta picha kuona jinsi Dkt Abbas anavyoteseka tena akiwa mtendaji wa Wiza ile ile baa ya kuona Magazeti ambayo sliyafungia yeye sasa yanafunguliwa tena bila masharti.
Msigwa baada ya Mtangulizi wake naye aliendeleza majibu yale yale ingawa naye hakushangaza sana kwakua alikuwa kipenzi cha Mwendazake,naye pia hakupenda mfumo wenye uhuru wa kujieleza. Leo hii sasa bosi wao ndani ya wizara ile ile anaelekeza magazeti yafunguliwe. Hawana la kufanya zaidi ya kutii amri tuu.
Kupitia haya yanayotokea naamini Dkt Abbas na Msigwa mnajifunza. Acheni hizi roho mtambue siku zote dunia ni
Mabwana au machawa wa Jiwe😀Nawaonea huruma sana hawa mabwana wawili Dkt Hassan Abbas na Gerson Msigwa ambao kimsingi ni wapenzi wa mfumo wa Mwendazake, walifanya kazi katika viburi vikubwa sana. Walitoa majibu ya hovyo sana kila walipoulizwa na wanahabari kuhusu uhuru wa habari.
Leo hii wamekutana na aliyekuja juu yao ni muumini katika uhuru wa kujieleza ambaye mfumo wa Mwendazake ulimshinda kufuatia kujiuzulu abaki benchi. Navuta picha kuona jinsi Dkt Abbas anavyoteseka tena akiwa mtendaji wa Wiza ile ile baa ya kuona Magazeti ambayo sliyafungia yeye sasa yanafunguliwa tena bila masharti.
Msigwa baada ya Mtangulizi wake naye aliendeleza majibu yale yale ingawa naye hakushangaza sana kwakua alikuwa kipenzi cha Mwendazake,naye pia hakupenda mfumo wenye uhuru wa kujieleza. Leo hii sasa bosi wao ndani ya wizara ile ile anaelekeza magazeti yafunguliwe. Hawana la kufanya zaidi ya kutii amri tuu.
Kupitia haya yanayotokea naamini Dkt Abbas na Msigwa mnajifunza. Acheni hizi roho mtambue siku zote dunia ni duara.
Toka lini Dkt Hassan Abbas yuko Wizara ya Habari, mawasiliano na tekinologia ya habari?
Hili jukwaa kwa sasa limeshuka sana kihoja likichangiwa na watu wa aina yako.
Umeonyesha hujui hata makatibu wakuu wa wizara kwa sasa.
Fanya kwanza utafiti kabla ya kuonyesha ujinga wako kwa watu wenye uelewa mpana wa mambo yanayoendelea nchini!
Dkt. Hassan Abbas kwa sasa ni Katibu Mkuu katika Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Nape anapenda kuwe na uhuru wa kujieleza? Hv ni umasikini wetu au ni uafrika unatufanya tunasahau Mambo mapema hvyo. Yaan jamaa atuzimie buñge leo tushasahau
Kwani hawawezi kumuiga Slow slow?Nape hajawahi kujiuzuru uwaziri.
Ni vema kuweka kumbukumbu sawa kwenye hili.
So far, Gerson na Dr. Abasi hawana option zaidi ya ku-serve the new master who definitely serves the pleasure of the appointing authority.
madikteta hayana nafasi kwenye ulimwengu uliostaraabika.Nawaonea huruma sana hawa mabwana wawili Dkt Hassan Abbas na Gerson Msigwa ambao kimsingi ni wapenzi wa mfumo wa Mwendazake, walifanya kazi katika viburi vikubwa sana. Walitoa majibu ya hovyo sana kila walipoulizwa na wanahabari kuhusu uhuru wa habari.
Leo hii wamekutana na aliyekuja juu yao ni muumini katika uhuru wa kujieleza ambaye mfumo wa Mwendazake ulimshinda kufuatia kujiuzulu abaki benchi. Navuta picha kuona jinsi Dkt Abbas anavyoteseka tena akiwa mtendaji wa Wiza ile ile baa ya kuona Magazeti ambayo sliyafungia yeye sasa yanafunguliwa tena bila masharti.
Msigwa baada ya Mtangulizi wake naye aliendeleza majibu yale yale ingawa naye hakushangaza sana kwakua alikuwa kipenzi cha Mwendazake,naye pia hakupenda mfumo wenye uhuru wa kujieleza. Leo hii sasa bosi wao ndani ya wizara ile ile anaelekeza magazeti yafunguliwe. Hawana la kufanya zaidi ya kutii amri tuu.
Kupitia haya yanayotokea naamini Dkt Abbas na Msigwa mnajifunza. Acheni hizi roho mtambue siku zote dunia ni duara.
Team roho mbaya mtakoma mwaka huu.Labda useme wewe watakuelewa.Nape ameachia magazeti ya watu waliomshtaki Paul Makonda.Hii ni gharama ya kulipa kisasi si uhuru wa vyombo vya habari
Duh!...yaani kuna Vita ya makundi huko Ccm?Mie mjinga mjinga naamini haya magazeti yamefunguliwa kuimarisha Chadema ili isaidie kuchafua Wagombea wa Ccm wasiotakiwa na mfumo kama ilivyokuwa kwa Ndugu Ngoyai 2007-2015
Kokote alikojificha aondoke , huyu ni sehemu ya maharamia , hata wewe ni miongoni mwa mashetani yaliyo support kila unyama wa jiwe , hukutakiwa kuendelea kubaki jfToka lini Dkt Hassan Abbas yuko Wizara ya Habari, mawasiliano na tekinologia ya habari?
Hili jukwaa kwa sasa limeshuka sana kihoja likichangiwa na watu wa aina yako.
Umeonyesha hujui hata makatibu wakuu wa wizara kwa sasa.
Fanya kwanza utafiti kabla ya kuonyesha ujinga wako kwa watu wenye uelewa mpana wa mambo yanayoendelea nchini!
Dkt. Hassan Abbas kwa sasa ni Katibu Mkuu katika Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
woga wenu tuMie mjinga mjinga naamini haya magazeti yamefunguliwa kuimarisha Chadema ili isaidie kuchafua Wagombea wa Ccm wasiotakiwa na mfumo kama ilivyokuwa kwa Ndugu Ngoyai 2007-2015
Nape pamoja na kuwa Siyo brilliant person but is a bit wise kumlinganisha na viongozi wengi vijana kama akina Mwigulu.Nawaonea huruma sana hawa mabwana wawili Dkt Hassan Abbas na Gerson Msigwa ambao kimsingi ni wapenzi wa mfumo wa Mwendazake, walifanya kazi katika viburi vikubwa sana. Walitoa majibu ya hovyo sana kila walipoulizwa na wanahabari kuhusu uhuru wa habari.