Dkt. Bashiru awashangaa wapenda ‘Kazi na Bata’. Asema kauli hiyo inachangia kuzorotesha Uchumi

Hakuna kulazimishana hapa ila ni kukumbushana kuwa KAZI NA BATA kama ilivyo HAPA KAZI TUU ambavyo siyo kulazimisha kwamba watu wafanye kazi tuuuuuu.
Upande wa lugha niseme samahani sana kama sijaleweka maana matusi siyo sitahili yangu ya uhandishi.
 

Hayo mawazo ya kizamani Kazi na kulabata ndio inayotakiwa wao wanatembelea magari ya V8, wanaenda likizo za sabbatical leave ulaya, wakija huku wanasema tusile bata! Land cruiser V8 ni sawa na Ambulances [emoji603] ngapi? Hapo mnakuza uchumi?
 
CCM ITASHINDA KWA KISHINDO kuna jamaa zangu ni wabunge wa upinzani huwa nawaambia kabisa watafute shuguli ya kufanya
True tena Wa 300% si mnamiliki fingerprints na data base za majina ya watz,mtashindwa vipi sasa,
 
Huwezi kula bata bila kazi ajatembea huyu aende ulaya akaone bata linavoliwa tena na manyoya yake na kazi wanapiga balaa.Mimi nimewaelewa first world huwezi ukawa masikini ukapewa uongozi wanaogopa utawaletea kansa ya umasikini.Umasikini uletwa na watu wenye mawazo ya ukale,bata is a personal life pia ni hobby
 
Hicho kimsemo ndio kinawakosesha raha kina Bashiru et el bora wakajinyonge kwa kutumia uzi kama vipi!...Membe mbele kwa mbele.!,Jiandaeni kisaikolojia。
 
Bila shaka huyo msomi hakuielewa vema kauli ya ZZK; au amechagua kuipa tafsiri hasi ili impe kiki ya kisiasa. Hakika si kila aliyesoma sana kaelimika; kinyume chaweza kuwa ukweli!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nanza kupata picha ya kauli ya (WANYONGE)
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…