Dkt. Bashiru: Tundu Lissu anaumwa 'Ugonjwa wa Deko'

Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema mbunge wa Singida mashariki mh Tundu Lisu anaumwa ugonjwa wa Deka unaotokana na kudekadeka.

Source gazeti la Mtanzania

Maendeleo hayana vyama!

Wakati anaongea hayo alikua akingea ki PhD - PhD au ndiyo vile vile tu kama anavyotarajiwa.
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye bashiru na wenzake watoto wao wanasoma wap??
Achen unafiki Mungu atawaadhibu mmoja bada ya mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM na waasisi wake walikosea sana kuweka ushirikina mbele wakati wa kuasisi chama.
Hivi kama si uchawi ndio ulioharibu akili za watu hawa ni nini basi kilichofanya waumini wa chama hiki kuwa na uwezo mdogo wa kutafakari mambo?
 
Hawa wapumbavu nao kila siku habari za Lisu hamna kazi za kufanya, shenzy kabsa eti ugonjwa wa deko.
 
CCM gonjwa baya sana, linaathiri afya ya mwili, akili na roho.
1. Afya = Ukishapata huu ugonjwa CCM uso unabadilika kwa sababu unakua hauna tena soni mbele za watu kwa sababu ya kutetea uovu, maovu na waovu!

2. Akili= Hata uwe prof. au Dr. ukishapata huu ugonjwa CCM akili zinarudi utotoni. Ukiulizwa swali kwanini CCTV ziliondolewa wakati Lisasi 16 Zinalindima mwilini mwamwanadamu mwezako, jibu ni "Deko".

3. Roho= Inakuwa haina hofu ya Mungu wala chembe ya huruma tena. Mgonjwa akisema anaenda kufanyiwa operation ya 23, pole yako ni "DEKO".
 
Hahhahahhhahhaaaaaaaaaaahhahhahhahhah Dkt.Bashiru kapatia kabisa.

Mkuu mbona unasikia raha kabisa na kutueleza kapatia kabisa, inaelekea amekupatia mpaka pale penyewe kabisa. Unasikia utamu au sio.
 
Mtazamo
 

Wanajua gonjwa lao


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…