Kwa hio Viongozi hawatakiwa kufa ?Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.
Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.
Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.
Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.
Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Yaani vituko vituko na bashiru ety kawa mzalendo.Ndugai na yeye yupo kundi la wazalendo kweli watanzania hatujui tunachokitaka..
Duh Kila mgonjwa akifa c Dunia itaisha chapMbona hata wewe ni mgonjwa na haujafa!?
Wana mtandao mbona mmekuwa wakali hivi?
[/QUOTE
Kwahiyo hakupaswa kufa? Acha ujinga na weweUngemuwekea na vipimo vya kitabibu kuonesha hakuna shaka katika kifo chake.
Wewe punga harufu ya mavi imepanda kichwaniBashiru ni muslim i guess, hivyo kwa kulingana wa patterns za wanaondolewa hana cha kuhofia ...
Wakiondoka ndo mtaelewaDrama mongering
Kwani kuna atakayebaki huku duniani?Wakiondoka ndo mtaelewa
Kipewa challenge tu unaleta matusi hauoni aibu?Pumbavu Mkubwa weee !!
Ina make sense.Bashiru ni muslim i guess, hivyo kwa kulingana wa patterns za wanaondolewa hana cha kuhofia ...
Mambo ya kiboya tu kutetea wahalifu.Bashiru huyu aliyesema mwaka 2020 hawawezi shindwa uchaguzi ilihali wana-dola leo amekua saviour
Kwa hivo unamshauri huyo ndugu akipewa maji ya kunywa anywe tuh.Story za kutunga hizi ndugai alikuwa mgonjwa toka mda af ndugai hana madhara walisha mdhibiti mda san wadanganye uko kijiweni kwenye bodaboda
Ndugai huyu aliyewaapisha Covid 19 kwenye gereji ?Ndugai na yeye yupo kundi la wazalendo kweli watanzania hatujui tunachokitaka..
Sisi boda boda mnatuonea SanaStory za kutunga hizi ndugai alikuwa mgonjwa toka mda af ndugai hana madhara walisha mdhibiti mda san wadanganye uko kijiweni kwenye bodaboda
wafuasi wa Chadema ubongo wao ni kama wa samakiBashiru huyu aliyesema mwaka 2020 hawawezi shindwa uchaguzi ilihali wana-dola leo amekua saviour