Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo

Akili za wapinzani zinachekesha wako tayari jimbo lichukuliwe na ccm kisa hawampendi mpinzani wanasahau adui yao mkubwa ni ccm
 
Hata huo uwaziri akimbili hela
Fedha anayoingiza huko kwenye kokoto inamtosha kabisa.....
Tunataka watu kama Hawa kwenye uongozi syo wale wanaochangisha watu Hela ili wapate cheo

Ova
Kokoto[emoji3064][emoji3064]
 
Masikini Mbatia
 
Kwa utendaji ukiotukuka wa DR Kimei akigombea aweza pata kura toka kote CCM na Upinzani.Ni mgombea sahihi kwa CCM haitakuwa vigumu kumnadi . Performance yake itamnadi na Hivyo ushindi kupatikana kirahisi sababu Ni rahisi kukubalika na makundi yote
 
MD/CEO wa CRDB ni zaidi ya Ubunge , Dr Kimei anakwama wapi?
Maisha sio pesa tu . Self actualization haifikiwi kwa kuwa na pesa nyingi tu.Ingekuwa Hivyo mabilionea Kama Billy Gates Wana pesa za kula wao na vitukuu kwa miaka hata Mia tatu wasingeendelea kufanya business Wana contribute kwenye well being ya dunia na hujisikia vizuri wa kisolve society problem!!

Ukiwa lower level unadhani ukiwa na pesa ndio utafikia Self actualization lakini ukizipata na watoto wakawa na maisha Yao unagundua kuwa no money is not self actualization I need to do more for community!!
 
Dada Victoire ,pesa si kitu kama huna power. Kinachotafutwa kwenye siasa ni power. CCM imefanya zama hizi siasa ionekane ni rahisi sana,kiasi kwamba hata house girls wangu wawili wametangaza nia ya kugombea ubunge.
 
Teuzi za nafasi huwa haziangalii kabila la mhusika. Vetting hufanywa na zaidi ya mtu mmoja (ni ngumu wawe kabila moja eg wachaga wote). Rais hupelekewa mapendekezo tu yeye.
Nani kakwambia awamu hii kuna "vetting"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…