Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo

Kha! Eti Marangu Mamba Komakundi. Huyo alieandika hivyo atakuwa mpiga debe wa mabasi ya mwika
Ndio mkuu mi nimpiga debe hapa Kisambo cha Muhimu mkono unaenda kinywani.#Thanks #VunjoKimei #Tumechelewa.
Urakoze chane.
 
Yaani hawa ndio watu yaani jina lake ukiliona,huitaji hata kufikiria mara mbili kwani CV yake yenyewe ina mbeba.

Hawa wagombea waongea hovyo wengine wasela hawato tusaidia.
 
Yaani hawa ndio watu yaani jina lake ukiliona,huitaji hata kufikiria mara mbili kwani CV yake yenyewe ina mbeba.

Hawa wagombea waongea hovyo wengine wasela hawato tusaidia.
Yani bado unategemea Kimei awe vile vile akiingia kwenye siasa? Mkuu hujui politics nini atafanya ujinga nae tu
 
Hapo wakuangalia nafasi yake vizuri endapo akipata ubunge ni Bashungwa, sio Mpango.

Huyu atashinda asubuhi tu iwapo CCM itampitisha. Mbatia kakimbia na bilioni 7 za wananchi alizozichangisha kwa ajili ya barabara hadi leo kimya tu.
Naunga mkono hoja yako.
 
Waha wanasifa kuu tatu> Kufanya kazi kwa bidii, ubishi na ubahili. ... Mpango bado anatosha MOF. Kimei angetosha sana wizara ya biashara na viwanda. 🤔
 
Waha wanasifa kuu tatu> Kufanya kazi kwa bidii, ubishi na ubahili. ... Mpango bado anatosha MOF. Kimei angetosha sana wizara ya biashara na viwanda. 🤔
Nililisema hili, Kimei apewe wizara ya Biashara na Viwanda.. Hii Wizara inahitaji mtu competent sana.. Bashungwa ni kama vile imemmeza..
 
Na iwe hivyo aisee!
Ilikuwa too much!

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Ni kweli inasemekana Dkt Kimei ataomba ridhaa ndani ya CCM lakini hajaonekana popote akizungumza na wanaccm au wananchi kutafuta kuungwa mkono au kuelezea nia yake. Pamoja na kutoonekana kwake ndiye anayetajwa zaidi miongoni mwa wananchi walio wengi kama mtu sahihi atakayekipa chama cha mapinduzi ushindi wa kimbunga.
 
Naungana na wewe kabisa, Ubunge atapata ila kwenye uwaziri asahau. Magufuli ana alergy na wachaga, hawezi kumpa ofisi nyeti hivo ya wizara ya fedha.

Hapo labda ampe wizara ya viwanda na biashara ila sio fedha
 
Huelewi utendaji serikalini uliza ueleweshwe.Katibu Mkuu ndiyo Accounting Officer, sisi waelewa tungeshangaa kama waziri angempelekesha KM. Hongera Dotto kwa kujua mipaka ya kazi.
 
charles kimei ndo wapi tena uku anaenda mbona naona kama anapotea njia
kwa cv yake ubunge naona kama anaenda kujishushia heshima au tenda ya aggregates kule sgr imeisha
 
Kama yupo vizuri kichwani basi naona kapotea njia maana huko kwenu ccm ukiingia na akili basi ukishaingia unakuwa zuzu kama wewe
Ni haki yake ya kikatiba kutia nia kugombea .Ni mtanzania aliyeipaisha sana CRDB ilikuwa inakufa kifo cha mende .Alifanya kazi kubwa kuifufua na kuifanya iwe juu mno hadi leo
Yuko vizuri mno kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…