LGE2024 Dkt. Charles Kitima: Wameandikisha Watoto wa Shule ya Msingi na Sekondari kupiga Kura, mnawaharibu Watoto

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Kanisa Katokili Nchini kupitia Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Nchini Dkt. Charles Kitima limelaani kitendo cha watoto wadogo kuandikishwa kwa ajili ya kupiga kura kitendo ambacho ni kibaya kufundisha watoto matendo maovu

Mama na mkwe maokoto hayadumu, maokoto hayafai. Watoto walikuwa wanapewa shilingi elfu sita na walimu itakuwa labda elfu sitini.
 
Sasa,CCM inapopayuka na kusema kinapendwa sana na kina wanachama wengi mnoo Tanzania huwa maana yake nini?
-wizi wa kura,wao.
-kuleta mamluki,wao.
-kuandikisha majina ya waliokosa sifa za kupiga kura k.m marehemu,watoto under 18 na majina bandia,wao.
Hii maana yake ni kukosa mvuto na ushawishi kwa wananchi.
 
ccm ilishajifia chadema wanapambana na serekale
 
Sasa,CCM inapopayuka na kusema kinapendwa sana na kina wanachama wengi mnoo Tanzania huwa maana yake nini?
-wizi wa kura,wao.
-kuleta mamluki,wao.
-kuandikisha majina ya waliokosa sifa za kupiga kura k.m marehemu,watoto under 18 na majina bandia,wao.
Hii maana yake ni kukosa mvuto na ushawishi kwa wananchi.
CCM haina watu tena ndio Maana inalazimisha ,watu walisha isusa siku nyingi wamebaki wajinga wachache sana ambao utakuta wanazungumzia CCM ndio maana imeanza kubaka watoto wa shule yote hiyo ni kwa sababu wanachama hawapo tena.
 
Kanisa Katokili Nchini kupitia Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Nchini Dkt. Charles Kitima limelaani kitendo cha watoto wadogo kuandikishwa kwa ajili ya kupiga kura kitendo ambacho ni kibaya kufundisha watoto matendo maovu

Huyu Padre ni mjinga sana na najuta kusoma SAUT akiwa Vice Chancellor.
 
Mwendazake alilipopora chaguzi za 2019 na ule mkuu 2020 mbona Mapadri na Maaskofu hawakutoa tamko. Kwa sasa hivi wamwache mama ajenge nchi na 2025 anaingia awamu ya pili Mungu akipenda.
 
Sasa,CCM inapopayuka na kusema kinapendwa sana na kina wanachama wengi mnoo Tanzania huwa maana yake nini?
-wizi wa kura,wao.
-kuleta mamluki,wao.
-kuandikisha majina ya waliokosa sifa za kupiga kura k.m marehemu,watoto under 18 na majina bandia,wao.
Hii maana yake ni kukosa mvuto na ushawishi kwa wananchi.
Shida ni watanzania! ubinafsi umekithiri! Kila mtu anapambania maokoto! Tunapokaribia uchaguzi utaona chawa wataongezeka hata kupiga wenzao wa upande mwingine!
UBINAFSI NI KANSA kwa watanzania. Kuna wasioona shida kuwa na CCM na ushetani wake! wako makanisani na misikitini.
Mchungaji alihamasisha watu wajiandikishe na kuchukua form za uongozi nikakataa na kusema tunahitaji tupambanie uadilifu wa uchaguzi nikapata mashambulizi ya ovyo sana!
Ukiingia kwenye mfumo mwovu wewe ni muovu!
 
Back
Top Bottom