LGE2024 Dkt. Charles Kitima: Wameandikisha Watoto wa Shule ya Msingi na Sekondari kupiga Kura, mnawaharibu Watoto

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mwendazake alilipopora chaguzi za 2019 na ule mkuu 2020 mbona Mapadri na Maaskofu hawakutoa tamko. Kwa sasa hivi wamwache mama ajenge nchi na 2025 anaingia awamu ya pili Mungu akipenda.
Una uhakika na maneno yako? Kama wewe hukusikia tamko haina maana kama tamko halikutolewa. Ni ujinga wako tu.
 
wa deal na matatizo yao kwanza, kuruhusu ushoga, sadaka zisizokwisha...n.k
 
Mwendazake alilipopora chaguzi za 2019 na ule mkuu 2020 mbona Mapadri na Maaskofu hawakutoa tamko. Kwa sasa hivi wamwache mama ajenge nchi na 2025 anaingia awamu ya pili Mungu akipenda.
Kanisa katoliki halijanyamaza,kamuulize mwendazake.
 
Wapinzani wamelala, lkn ccm haijamini..
 
Back
Top Bottom