Wanasimamia ukweli, uadilifu na uwajibikaji sijawahi kuwaona wakitaka kubebwa hata kubebwa
RC ni wadini sn wamezoea mbeleko Rais akiwa mwenzao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RC ni wadini sn wamezoea mbeleko Rais akiwa mwenzao
Lakini Waislamu walikuwa wanasema kuna baba wa Taifa tuambiwe mama ni nani?Lakini kumbe sasa kuna mama ssh hatusikii wakiuliza baba ni yupi?Wala BAKWATA huwasikii wakikataa mwanamke hawezi kuwa kiongozi,kwahiyo wapo kimya na mwanamke anatawala kiharamu kwa sababu ni mwislamu,huu ni ukhafiri ambao Waislamu wamehalalisha.RC ni wadini sn wamezoea mbeleko Rais akiwa mwenzao
Hakuna aliyesoma SAUT akawa hivyo. SAUT waliosoma na kumaliza hawawezi kujuta. Na daima wapo wakweli.Huyu Padre ni mjinga sana na najuta kusoma SAUT akiwa Vice Chancellor.
Kutaka ushahidi ni hoja nzuri lakini hiyo hoja ya udini sijui umeitoa wapi.Huyo father ana uhakika? Alete ushahidi vinginevyo itabaki kuwa ile chuki ya wakatoliki kwa waislam ya siku zote.
Kanisa Katokili Nchini kupitia Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Nchini Dkt. Charles Kitima limelaani kitendo cha watoto wadogo kuandikishwa kwa ajili ya kupiga kura kitendo ambacho ni kibaya kufundisha watoto matendo maovu
Padri wa mchongo au?Kanisa Katokili Nchini kupitia Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Nchini Dkt. Charles Kitima limelaani kitendo cha watoto wadogo kuandikishwa kwa ajili ya kupiga kura kitendo ambacho ni kibaya kufundisha watoto matendo maovu
Kwa nini usinge chukua fursa hiyo na kuungana na huyo "mchungaji" kuhimiza watu wakajiandikishe kwa wingi na kupiga kura kwa wingi zaidi kuikataa CCM?Mchungaji alihamasisha watu wajiandikishe na kuchukua form za uongozi nikakataa na kusema tunahitaji tupambanie uadilifu wa uchaguzi nikapata mashambulizi ya ovyo sana!
Ukiingia kwenye mfumo mwovu wewe ni muovu!
Naaaaaam chama kimechokwa.Sasa,CCM inapopayuka na kusema kinapendwa sana na kina wanachama wengi mnoo Tanzania huwa maana yake nini?
-wizi wa kura,wao.
-kuleta mamluki,wao.
-kuandikisha majina ya waliokosa sifa za kupiga kura k.m marehemu,watoto under 18 na majina bandia,wao.
Hii maana yake ni kukosa mvuto na ushawishi kwa wananchi.
Uliishawahi kuona humu mimi nalialia? Namshangaa Padre Kitima ambaye analialia wakati isingelikuwa Serikali kutoa mikopo SAUT ingelikuwa na wanafunzi hawzidi mia mbili. Halafu muilize kama una contact naye kwamba fedha ya "Mizelia" kwanini ilikuwa hawapewi wahusika baada ya yeye kuwa Vice Chancellor?😅😅😅 basi achana na majuto, kikubwa ulipata elimu na ndicho kilichokupeleka.
Mengine endelea kupambana tu mkuu.
Ahahahahaha! Kwahiyo ninyi mnapenda kukosoa tu. Mkikosolewa mnalialia.Sasa wewe nani kakuambia uchangie!!! Yakizungumzwa masuala ya muhimu, ninyi hamtakiwi kushiriki kwenye mjadala. Acheni wenye akili timamu wachangie.
Kweli kabisa kama vile Mimi. Sifungwi na hoja kwamba nilisomea hapo. Ninakosoa tu!Hakuna aliyesoma SAUT akawa hivyo. SAUT waliosoma na kumaliza hawawezi kujuta. Na daima wapo wakweli.
Hii inahitaji kusema ukweli kuliko katiba mpya kila mtu akiwa mkweli kama hivi itapendezaKanisa Katokili Nchini kupitia Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Nchini Dkt. Charles Kitima limelaani kitendo cha watoto wadogo kuandikishwa kwa ajili ya kupiga kura kitendo ambacho ni kibaya kufundisha watoto matendo maovu
Ana roho flani ya kuungua huyu jamaa.Sijawahi ona padri akihubiri kwa makelele hivyo mpaka nasikia ngoma ya masikio inataka kutoboka
يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ لَا تَتَّخِذُواْ بِطَانَةٗ مِّن دُونِكُمۡ لَا يَأۡلُونَكُمۡ خَبَالٗا وَدُّواْ مَا عَنِتُّمۡ قَدۡ بَدَتِ ٱلۡبَغۡضَآءُ مِنۡ أَفۡوَٰهِهِمۡ وَمَا تُخۡفِي صُدُورُهُمۡ أَكۡبَرُۚ قَدۡ بَيَّنَّا لَكُمُ ٱلۡأٓيَٰتِۖ إِن كُنتُمۡ تَعۡقِلُونَKanisa Katokili Nchini kupitia Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Nchini Dkt. Charles Kitima limelaani kitendo cha watoto wadogo kuandikishwa kwa ajili ya kupiga kura kitendo ambacho ni kibaya kufundisha watoto matendo maovu
We mbona ndiyo mjinga, na ujinga wako hadi huku tuna uwona.Huyu Padre ni mjinga sana na najuta kusoma SAUT akiwa Vice Chancellor.
Huwezi kumuelewa huyo Padre kama Akili yako ilisha zima,sasa kama ww unamshangaa mwalimu wako kwa kusema ukweli basi ww ni janga ktk Taifa letu.Na kwa mwandishi yako ww ulisha kufa maana kuzimiki Akili kwa kiwango ulichoonesha ni kufa.Huyu Padre ni mjinga sana na najuta kusoma SAUT akiwa Vice Chancellor.
Sasa unasikitika nini hadi kutuambia habari za chuo kama unaamini chuo sio cha babaake.Akili yako imepimwa hapo vzr kabisa wenye Akili wamekufahamu vzr.Ningerudisha bahati mbaya hicho chuo sio Cha Padre Kitima Wala sio cha babaake.
Kwani mwaka huu waislam ndo wanaandaa uçhaguzi mkuu?Huyo father ana uhakika? Alete ushahidi vinginevyo itabaki kuwa ile chuki ya wakatoliki kwa waislam ya siku zote.