JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mama na mkwe maokoto hayadumu, maokoto hayafai. Watoto walikuwa wanapewa shilingi elfu sita na walimu itakuwa labda elfu sitini.Kanisa Katokili Nchini kupitia Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Nchini Dkt. Charles Kitima limelaani kitendo cha watoto wadogo kuandikishwa kwa ajili ya kupiga kura kitendo ambacho ni kibaya kufundisha watoto matendo maovu
chipkiiiiiz binadamu wote ni ndugu zangu na africa ni moja shikamooo mwalimChipukuzi 🐼
ccm ilishajifia chadema wanapambana na serekaleSasa,CCM inapopayuka na kusema kinapendwa sana na kina wanachama wengi mnoo Tanzania huwa maana yake nini?
-wizi wa kura,wao.
-kuleta mamluki,wao.
-kuandikisha majina ya waliokosa sifa za kupiga kura k.m marehemu,watoto under 18 na majina bandia,wao.
Hii maana yake ni kukosa mvuto na ushawishi kwa wananchi.
Kwa hiyo hapo anahubiri?? 🤔 🤔. Mbona akili yako ni fupi sana kama mkia wa pimbi.Sijawahi ona padri akihubiri kwa makelele hivyo mpaka nasikia ngoma ya masikio inataka kutoboka
CCM haina watu tena ndio Maana inalazimisha ,watu walisha isusa siku nyingi wamebaki wajinga wachache sana ambao utakuta wanazungumzia CCM ndio maana imeanza kubaka watoto wa shule yote hiyo ni kwa sababu wanachama hawapo tena.Sasa,CCM inapopayuka na kusema kinapendwa sana na kina wanachama wengi mnoo Tanzania huwa maana yake nini?
-wizi wa kura,wao.
-kuleta mamluki,wao.
-kuandikisha majina ya waliokosa sifa za kupiga kura k.m marehemu,watoto under 18 na majina bandia,wao.
Hii maana yake ni kukosa mvuto na ushawishi kwa wananchi.
Huyu Padre ni mjinga sana na najuta kusoma SAUT akiwa Vice Chancellor.Kanisa Katokili Nchini kupitia Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Nchini Dkt. Charles Kitima limelaani kitendo cha watoto wadogo kuandikishwa kwa ajili ya kupiga kura kitendo ambacho ni kibaya kufundisha watoto matendo maovu
Sasa chuo na yeye kuwa vice chancellor vina uhusiano gani na hasira au majuto yako?Choma vyeti moto na uombe chuo kingine uanze upya.Mbona kuanza upya siyo ujinga?Huyu Padre ni mjinga sana na najuta kusoma SAUT akiwa Vice Chancellor.
Shida ni watanzania! ubinafsi umekithiri! Kila mtu anapambania maokoto! Tunapokaribia uchaguzi utaona chawa wataongezeka hata kupiga wenzao wa upande mwingine!Sasa,CCM inapopayuka na kusema kinapendwa sana na kina wanachama wengi mnoo Tanzania huwa maana yake nini?
-wizi wa kura,wao.
-kuleta mamluki,wao.
-kuandikisha majina ya waliokosa sifa za kupiga kura k.m marehemu,watoto under 18 na majina bandia,wao.
Hii maana yake ni kukosa mvuto na ushawishi kwa wananchi.
Ndio maana kanisa lilimtimua kuwa mkuu wa chuo.Kanisa Katokili Nchini kupitia Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Nchini Dkt. Charles Kitima limelaani kitendo cha watoto wadogo kuandikishwa kwa ajili ya kupiga kura kitendo ambacho ni kibaya kufundisha watoto matendo maovu
Unatafutwa na Madaraka Nyerere umueleze wewe ni Nyerere yupi?Wa mji upi?Nyamuswa,Nyakanga,Ikizu au Bitaraguru?Acha ulevi hakuna kura iliyopigwa