Dkt. Damas Ndumbaro: Wanaume tuliokuwa tunavizia Urais twende likizo, kazi anayoifanya Samia hakuna wanaume wanaoweza kuifanya

Huwa ninashangaa sana binadamu kumsujudia mwenzie
Hivi kwanini huwa wanawasifia maraisi kama huwa wanakuja na hela zao kutoka home?

Hawanaga kazi hawa
 
Majukumu ya Rais ni majukumu kama yalivyo majukumu ya mtu yoyote anae wajibika katika majukumu yake.
Kila alie na majukumu huhakikisha anafanya vizuri majukumu yake ili apate sifa njema.
Hata angekua nani kwenye nafasi ya urais ni lazima angefanya vizuri kwani nyuma yake wapo wazaidizi wengi wenye taaluma mbalimbali na uzoefu mkubwa kwenye nyanja husika.
Kusema rais fulani anafanya vizuri kuliko yoyote aliepo au asiyepo ni negative think.
 
Haya mambo yalikomaa enzi za Jiwe
Hivi kwa nini Rais anakubali kudhalilishwa namna hii? Kila mtu anajua kwamba huyo Waziri hamaanishi anachosema kwa nini Rais anakubali kufanyiwa hivi?

Hata mtoto mdogo akisikia hayo maneno atacheka na kujua ni danganya toto, sasa kwa nini?
Too low!
 
Aachen upumbavu huyu, kazi gani anayofanya ambayo wanaume hawawezi? Labda kubeba mimba hiyo ndo kazi pekee wanaume hawawezi.
 
Ni kweli Kwa sababu zaidi ya upigaji ,ufisadi na wizi hakuna cha maana wanaume Wamefanya hapa Tanzania kwenye maendeleo..

Ila kujisifia sasa.
 
Huu ni ukweli mchungu Sana maana hao kina Ndumbaro wamekuwepo Serikalini mda mrefu na wameona utofauti..

Anaebisha aje hapa kwa facts
 
Huwa ninashangaa sana binadamu kumsujudia mwenzie
Hivi kwanini huwa wanawasifia maraisi kama huwa wanakuja na hela zao kutoka home?

Hawanaga kazi hawa
Wapi amesujudia? Uzuri ni kwamba Binadamu wametofautiana kwa uwezo na vipawa na ndio uhalisia..

Hakuna siku wewe utakuwa kama Samia au kama Ronaldo au kama Diamond..
 
Huku amna mvua anzia mwezi wa nne Nchi kama nimepigwa kibriti ni ukame kila mahali sijui hizo baraka ni zipi
 
Wapi amesujudia? Uzuri ni kwamba Binadamu wametofautiana kwa uwezo na vipawa na ndio uhalisia..

Hakuna siku wewe utakuwa kama Samia au kama Ronaldo au kama Diamond..
Lakini alichaguliwa ili atimize na kufanya kazi zote zilizoahidiwa na Chama

Haina haja ya kumsifia kupita kiasi kwani ni wajibu wake kuwatumikia wananchi hilo linajulikana ila kusifia kwingi hakuleti maana yoyote

Kweli anafanya kazi kwa mujibu wa sheria na kanuni za nchi na utaratibu uliowekwa

Wao wafanye kazi ili sisi wananchi tuwasifie na sio wao wapambiane maneno
Ndio mtazamo wangu ulikuwa hivyo
 
Huyu mtu mpumbafu na mjinga. Mwanazuoni gani mjinga hv?
 
Astagafiruallah
 
Poor mental health is very danger(in Bashe voice)
 
Nina Wasiwasi na huo U DR. Wako kinyume ya hapo umetumwa. Kwa hiyo na wewe mwenyewe umekubali kuvalishwa sketi si ndio.!
 


Akili za MaCCM hizi. Zikichuchumaa zinachuchumaa kweli. Eti huyu ni Dr!
 
Huwa ninashangaa sana binadamu kumsujudia mwenzie
Hivi kwanini huwa wanawasifia maraisi kama huwa wanakuja na hela zao kutoka home?

Hawanaga kazi hawa
Asikuambie Mtu, mtaani ni kugumu sana, kwa hiyo Mtu akikupa shavu Kama una Imani ndogo mbona utamuona huyo Mtu aliekupa mchongo Kama ndiyo Mungu wako anaekupa riziki!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…