Dkt. Damas Ndumbaro: Wanaume tuliokuwa tunavizia Urais twende likizo, kazi anayoifanya Samia hakuna wanaume wanaoweza kuifanya

Ndumbaro ametaka wanawake waongoze nchi hata miaka 20 na kama wanaume wanataka kwenda kombe la dunia lazima Rais awe mwanamke kama wanawake walivyoweza kufika robo fainali.
[emoji3064][emoji35]Too low
 
Asikuambie Mtu, mtaani ni kugumu sana, kwa hiyo Mtu akikupa shavu Kama una Imani ndogo mbona utamuona huyo Mtu aliekupa mchongo Kama ndiyo Mungu wako anaekupa riziki!!
Hilo nalo neno Mkuu
Dunia hii ya sasa unauza utu kwa thamani ndogo tu
 
Waziri wa Sheria, Damas Ndumbaro akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya WILDAF yaliyohudhuriwa na Rais Samia amewataka wanaume wanaotaka kuwania Urais wakapumzike kwani aliyepo shughuli anaiweza barabara.

Ndumbaro ametaka wanawake waongoze nchi hata miaka 20 na kama wanaume wanataka kwenda kombe la dunia lazima Rais awe mwanamke kama wanawake walivyoweza kufika robo fainali.

=======

Damas Ndumbaro: Tumepata Rais wa kwanza mwanamke, sidhani kama kuna mafanikio makubwa kama hayo, rai yangu kwa nyinyi wanawake wapigania haki za wanawake, hapa tuliposhika tusiache.

Sisi kule Songea, wangoni tunaimba kwamba ninapotaka mimi ni hapa tu, sisi tunasema tunapotaka sisi ni hapo tu, tumefika.

Kwahiyo sisi wanaume ambao tulikuwa tunavizia vizia hii nafasi ya Urais hebu twende likizo kwanza. Hii shughuli sio yetu, siku hizi ina wenyewe hii, ndio ukweli na mbaya zaidi huyo mwanamke ambae ndio Rais kazi anayofanya hakuna wanaume ambao wanaweza kuifanya.

Tabia ya kujipendekeza na hadaa nilidhani watu walishaibwaga kumbe bado!
 
Ukilitazama hili suala kisiasa unaweza kumuita Chawa Mheshimiwa Ndumbaro lakini ukienda mbali zaidi ni ukweli mtupu.

Marais wote watano wanaume waliomtangulia SSH hawakuwahi kuwa na mafanikio ya kuifikisha timu yoyote ya Taifa ikacheza kombe la dunia mpaka kufikia hatua ya robo fainali kama Serengeti Girls wanavyofanya kule India.

Tunazoea mno lawama na kuwa na negative thinking mpaka tunashindwa kuutazama uhalisia wa mambo kwamba kwa mara ya kwanza timu ya Tanzania inacheza kombe la dunia, wimbo wetu wa taifa kwa mara ya kwanza unaimbwa kabla ya mechi ya mwakilishi wetu katika michuano ya kombe la dunia.

SSH anaweza kuwa na udhaifu wa hapa na pale lakini ni kiongozi mwenye Baraka kwa Tanzania, kwa wasichana wetu kuweza kufika hatua ya kucheza mechi ya robo fainali ya kombe la dunia ni ishara ya uongozi wa Samia kuwa na baraka kwa Taifa.
Seriously unaongelea maendeleo ya taifa na ukaanzia upande wa michezo. Dah! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hivi unajua Taifa stars hatawakichukua kombe la dunia uchumi wa mtanzania haubadiliki ujue[emoji23][emoji23][emoji23]. Tofautisha recognition ya nchi na development ujue. Haki, hata na wewe mwanaume mtu mzima kweli ukachanganua maendeleo kwaupande huo. Hakika familia nyingi wanaume watazidi kukimbia majukumu halisi ya familia kama wakiwaza kama wewe. Yaani uchukue kombe la dunia mara 20, nchi ikiwa nyuma Itabaki kuwa na recognition tu. Football is pleasure and enjoyment mzee, waza kimkakati, hayo yatakuja. Ufe na njaa kisa uwe unajulikana umechukua kombe la dunia[emoji23][emoji23][emoji23]. Haya mkuu!
 
Waziri wa Sheria, Damas Ndumbaro akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya WILDAF yaliyohudhuriwa na Rais Samia amewataka wanaume wanaotaka kuwania Urais wakapumzike kwani aliyepo shughuli anaiweza barabara.

Ndumbaro ametaka wanawake waongoze nchi hata miaka 20 na kama wanaume wanataka kwenda kombe la dunia lazima Rais awe mwanamke kama wanawake walivyoweza kufika robo fainali.

=======

Damas Ndumbaro: Tumepata Rais wa kwanza mwanamke, sidhani kama kuna mafanikio makubwa kama hayo, rai yangu kwa nyinyi wanawake wapigania haki za wanawake, hapa tuliposhika tusiache.

Sisi kule Songea, wangoni tunaimba kwamba ninapotaka mimi ni hapa tu, sisi tunasema tunapotaka sisi ni hapo tu, tumefika.

Kwahiyo sisi wanaume ambao tulikuwa tunavizia vizia hii nafasi ya Urais hebu twende likizo kwanza. Hii shughuli sio yetu, siku hizi ina wenyewe hii, ndio ukweli na mbaya zaidi huyo mwanamke ambae ndio Rais kazi anayofanya hakuna wanaume ambao wanaweza kuifanya.

Dkt. Damas Ndumbaro Ni PhD holder?
 
Seriously unaongelea maendeleo ya taifa na ukaanzia upande wa michezo. Dah! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hivi unajua Taifa stars hatawakichukua kombe la dunia uchumi wa mtanzania haubadiliki ujue[emoji23][emoji23][emoji23]. Tofautisha recognition ya nchi na development ujue. Haki, hata na wewe mwanaume mtu mzima kweli ukachanganua maendeleo kwaupande huo. Hakika familia nyingi wanaume watazidi kukimbia majukumu halisi ya familia kama wakiwaza kama wewe. Yaani uchukue kombe la dunia mara 20, nchi ikiwa nyuma Itabaki kuwa na recognition tu. Football is pleasure and enjoyment mzee, waza kimkakati, hayo yatakuja. Ufe na njaa kisa uwe unajulikana umechukua kombe la dunia[emoji23][emoji23][emoji23]. Haya mkuu!
Unaelewa maana ya royal tour na faida zake kwa uchumi wa nchi?. Unajua kuwa kwa timu ya wanawake kuweza kushiriki kombe la dunia ni sawa sawa na Royal Tour na pesa zote zilizotumika kuitangaza nchi?.

Pleasure na Enjoyment ikitumika vyema inaleta mabadiliko makubwa sana kiuchumi kama unaelewa kinachoongelewa kwa mapana yake.

Unajua kuwa kwa Brazil kushiriki kombe la dunia tangu lianzishwe kuna uhusiano wa moja kwa moja na ule utalii unawaingiza mabilioni ya pesa wa fukwe zao maarufu?, umeshawahi kuoanisha vitu hivyo viwili?.

Au umeshawahi kuoanisha mafanikio ya Al Ahly na Zamalek katika soka la afrika na mabilioni ya pesa yanayoingia kupitia utalii kule Giza ambapo mabilioni ya watu wanatumia pesa zao kwa ajili ya kuiona nchi ile?. Jaribu kwa kina kutazama uhusiano uliopo wa moja kwa moja.

Na hata bila ya kukua kwa michezo na kushiriki kwetu kombe la dunia, SSH anafanya kazi kubwa sana ya kutafuta pesa zinazoimaliza miradi yote iliyoachwa na JPM. Tembea huko mikoani uone ujenzi wa mashule, mahospitali na miundo mbinu kama viwanja vya ndege inavyopanuliwa kila kukicha.
 
Tutafuteni pesa! Njaa mbaya sana!
Njaa inasababisha huwezi kutofautisha akili ya Mwijaku na Msomi wa PhD.
Unafiki na Uchawa ni masomo mapya yanapaswa kutengenezewa mitaala kabisa!
 
Back
Top Bottom