Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Hilo nalo neno MkuuAsikuambie Mtu, mtaani ni kugumu sana, kwa hiyo Mtu akikupa shavu Kama una Imani ndogo mbona utamuona huyo Mtu aliekupa mchongo Kama ndiyo Mungu wako anaekupa riziki!!
Tabia ya kujipendekeza na hadaa nilidhani watu walishaibwaga kumbe bado!Waziri wa Sheria, Damas Ndumbaro akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya WILDAF yaliyohudhuriwa na Rais Samia amewataka wanaume wanaotaka kuwania Urais wakapumzike kwani aliyepo shughuli anaiweza barabara.
Ndumbaro ametaka wanawake waongoze nchi hata miaka 20 na kama wanaume wanataka kwenda kombe la dunia lazima Rais awe mwanamke kama wanawake walivyoweza kufika robo fainali.
=======
Damas Ndumbaro: Tumepata Rais wa kwanza mwanamke, sidhani kama kuna mafanikio makubwa kama hayo, rai yangu kwa nyinyi wanawake wapigania haki za wanawake, hapa tuliposhika tusiache.
Sisi kule Songea, wangoni tunaimba kwamba ninapotaka mimi ni hapa tu, sisi tunasema tunapotaka sisi ni hapo tu, tumefika.
Kwahiyo sisi wanaume ambao tulikuwa tunavizia vizia hii nafasi ya Urais hebu twende likizo kwanza. Hii shughuli sio yetu, siku hizi ina wenyewe hii, ndio ukweli na mbaya zaidi huyo mwanamke ambae ndio Rais kazi anayofanya hakuna wanaume ambao wanaweza kuifanya.
Seriously unaongelea maendeleo ya taifa na ukaanzia upande wa michezo. Dah! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hivi unajua Taifa stars hatawakichukua kombe la dunia uchumi wa mtanzania haubadiliki ujue[emoji23][emoji23][emoji23]. Tofautisha recognition ya nchi na development ujue. Haki, hata na wewe mwanaume mtu mzima kweli ukachanganua maendeleo kwaupande huo. Hakika familia nyingi wanaume watazidi kukimbia majukumu halisi ya familia kama wakiwaza kama wewe. Yaani uchukue kombe la dunia mara 20, nchi ikiwa nyuma Itabaki kuwa na recognition tu. Football is pleasure and enjoyment mzee, waza kimkakati, hayo yatakuja. Ufe na njaa kisa uwe unajulikana umechukua kombe la dunia[emoji23][emoji23][emoji23]. Haya mkuu!Ukilitazama hili suala kisiasa unaweza kumuita Chawa Mheshimiwa Ndumbaro lakini ukienda mbali zaidi ni ukweli mtupu.
Marais wote watano wanaume waliomtangulia SSH hawakuwahi kuwa na mafanikio ya kuifikisha timu yoyote ya Taifa ikacheza kombe la dunia mpaka kufikia hatua ya robo fainali kama Serengeti Girls wanavyofanya kule India.
Tunazoea mno lawama na kuwa na negative thinking mpaka tunashindwa kuutazama uhalisia wa mambo kwamba kwa mara ya kwanza timu ya Tanzania inacheza kombe la dunia, wimbo wetu wa taifa kwa mara ya kwanza unaimbwa kabla ya mechi ya mwakilishi wetu katika michuano ya kombe la dunia.
SSH anaweza kuwa na udhaifu wa hapa na pale lakini ni kiongozi mwenye Baraka kwa Tanzania, kwa wasichana wetu kuweza kufika hatua ya kucheza mechi ya robo fainali ya kombe la dunia ni ishara ya uongozi wa Samia kuwa na baraka kwa Taifa.
Dkt. Damas Ndumbaro Ni PhD holder?Waziri wa Sheria, Damas Ndumbaro akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya WILDAF yaliyohudhuriwa na Rais Samia amewataka wanaume wanaotaka kuwania Urais wakapumzike kwani aliyepo shughuli anaiweza barabara.
Ndumbaro ametaka wanawake waongoze nchi hata miaka 20 na kama wanaume wanataka kwenda kombe la dunia lazima Rais awe mwanamke kama wanawake walivyoweza kufika robo fainali.
=======
Damas Ndumbaro: Tumepata Rais wa kwanza mwanamke, sidhani kama kuna mafanikio makubwa kama hayo, rai yangu kwa nyinyi wanawake wapigania haki za wanawake, hapa tuliposhika tusiache.
Sisi kule Songea, wangoni tunaimba kwamba ninapotaka mimi ni hapa tu, sisi tunasema tunapotaka sisi ni hapo tu, tumefika.
Kwahiyo sisi wanaume ambao tulikuwa tunavizia vizia hii nafasi ya Urais hebu twende likizo kwanza. Hii shughuli sio yetu, siku hizi ina wenyewe hii, ndio ukweli na mbaya zaidi huyo mwanamke ambae ndio Rais kazi anayofanya hakuna wanaume ambao wanaweza kuifanya.
Unaelewa maana ya royal tour na faida zake kwa uchumi wa nchi?. Unajua kuwa kwa timu ya wanawake kuweza kushiriki kombe la dunia ni sawa sawa na Royal Tour na pesa zote zilizotumika kuitangaza nchi?.Seriously unaongelea maendeleo ya taifa na ukaanzia upande wa michezo. Dah! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hivi unajua Taifa stars hatawakichukua kombe la dunia uchumi wa mtanzania haubadiliki ujue[emoji23][emoji23][emoji23]. Tofautisha recognition ya nchi na development ujue. Haki, hata na wewe mwanaume mtu mzima kweli ukachanganua maendeleo kwaupande huo. Hakika familia nyingi wanaume watazidi kukimbia majukumu halisi ya familia kama wakiwaza kama wewe. Yaani uchukue kombe la dunia mara 20, nchi ikiwa nyuma Itabaki kuwa na recognition tu. Football is pleasure and enjoyment mzee, waza kimkakati, hayo yatakuja. Ufe na njaa kisa uwe unajulikana umechukua kombe la dunia[emoji23][emoji23][emoji23]. Haya mkuu!
PhD za majalalani hizoDkt. Damas Ndumbaro Ni PhD holder?