Dkt. Diallo: Sisi Mwanza ndio Wasukuma original na Rais Samia ni Chifu wetu, hao wanaoitwa Sukuma Gang hatuwatambui

Dkt. Diallo: Sisi Mwanza ndio Wasukuma original na Rais Samia ni Chifu wetu, hao wanaoitwa Sukuma Gang hatuwatambui

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang.

Diallo amesema Mwanza ndiko waliko Wasukuma original lakini wote wanamuunga mkono Rais Samia ambaye ni Chifu wao akitambulika kama Chifu Hangaya.

Sasa hao Sukuma gang wanatokea wapi ikiwa hapa Mwanza hawatambuliki? amehoji Mwenyekiti wa CCM Dr Anthony Diallo.

Source: Star tv
 

Chifu tangu lini akawa mama? Mambo mengine ni ushabiki wa kisiasa tu​

Huyu mzee anavunja miiko ya kabila lao kisa siasa na tumbo.Rais samia sio chief wa wasukuma tu ni chief wa makabila yote nchini kiongozi akiwa Rais tu anapewa na uchief wa nchi nzima aache bias ni chief wetu sote ndo maana baada ya kuapishwa anapewa ngao ya uchief
 
Wewe utakuwa fake kutoka Geita!

D5101F27-B51C-438C-BF08-674965F2160B.jpeg
 
Back
Top Bottom