Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Naona Diallo kajibu swali kisiasa na si kiuhalisia.Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang.
Diallo amesema Mwanza ndiko waliko Wasukuma original lakini wote wanamuunga mkono Rais Samia ambaye ni Chifu wao akitambulika kama Chifu Hangaya.
Sasa hao Sukuma gang wanatokea wapi ikiwa hapa Mwanza hawatambuliki? amehoji Mwenyekiti wa CCM Dr Anthony Diallo.
Dialo tuna mfahamu kwa kuwa ni straight talker, na si wengine tunamfahamu tok akiwa kijana.
Kwanza lazima Dialo akubali kueleza kuwa Magufuli hakuwa msukuma, ni mtu aliyelowea toka Burundi huko , na ana historia ya ukimbizi.
Pili, Ili kupata backing ya kisiasa, Magufuli amewatumia sana wasukuma na jina la wasukuma ili aptae mizizi ya kisiasa.
Hilo halina ubishi.
Tatu, Sukuma gang si lazima mtu awe msukuma.
Sukuma Gang ni wale wafuasi wa karibu wa Magufuli, wengine abao wala si wasukuma kama kina kalemani, Doto n.k.
Sukuma ganag is a political coinage ya wafuasi wa Magufuli, wengi wao wanaotoka kanda ya ziwa.
Lkini Mbaya zaidi Sukuma Gang vile vile ni kielelezo cha UKABILA ambao Magufuli alifanikiwa kuujenga, kwa kuteua watu waliokaribu naye na wa kwao.