johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ulitaka awe Mangi?Ukiacha Sukuma gang makundi mengine ya CCM ni yapi?
Alafu kwanini mama amekimbilia mapema kuwa Chief Hangaya wa wasukuma akaacha kuwa Chief kwenye makabila mengine?
Uite ujingaChifu tangu lini akawa mama? Mambo mengine ni ushabiki wa kisiasa tu
Swali zuri hilo!!!Ukiacha Sukuma gang makundi mengine ya CCM ni yapi?
Alafu kwanini mama amekimbilia mapema kuwa Chief Hangaya wa wasukuma akaacha kuwa Chief kwenye makabila mengine?
Wewe ni Msukuma original?Uite ujinga
Mkwawa!Swali zuri hilo!!!
Kwa hiyo mama ni kiongozi wa Wasukuma peke yao? Chief wa Wahehe sijui ni Nani?
Mwadera babaWewe ni Msukuma original?
Wewe utakuwa mnyantunzu!Labda chief wa wazaramo. Ila wasukuma hawajawahi kuwa na mwanamke chief
Wewe utakuwa fake kutoka Geita!Mwadera baba
Huyu mzee anavunja miiko ya kabila lao kisa siasa na tumbo.Rais samia sio chief wa wasukuma tu ni chief wa makabila yote nchini kiongozi akiwa Rais tu anapewa na uchief wa nchi nzima aache bias ni chief wetu sote ndo maana baada ya kuapishwa anapewa ngao ya uchiefChifu tangu lini akawa mama? Mambo mengine ni ushabiki wa kisiasa tu
Anthony Ng'wandu Dialo ni mngoni huyo sasa. NyambaffHakuna ukoo wa kisukuma unaitwa Diallo Wasukuma Original hawalitambui Hilo jina
Utakufa nacho kijiba cha roho Magufuli kafa kamuacha Lissu mliyetaka kumwua wewe na yeye...Hakuna ukoo wa kisukuma unaitwa Diallo Wasukuma Original hawalitambui Hilo jina
Au mmenunua na kaburi kwa bahati mbaya?