Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

Huyu mama kiukweli anapiga kazi pia ni mfuatiliaji mzuri lakini apunguze sifa, majigambo na kujikweza. Hivi vitu vitatu ndivyo vinamharibia.....
Kupiga kazi ni kuonekana kwenye tv kila siku na mapichapicha au mimi sielewi, kupiga kazi nikuleta mabadiliko katika kitengo unachokisimamia
 
Ni waziri mtekelezaji another version of JPM ...
 
Kupiga kazi ni kuonekana kwenye tv kila siku na mapichapicha au mimi sielewi, kupiga kazi nikuleta mabadiliko katika kitengo unachokisimamia
mabadiliko yameanza kuonekana mfano MSD wataanza kutengeneza gloves badala ya kuimport sasa jiulize miaka yote walikuwa wapi?
 
Wewe ndiyo umeongea jambo lenye tija
 
Unatukana madaktari?

Unajitambua kweli?
 
Hizo ni tabia za mmoja mmoja haziwezi kuwachafua wote, inategemea ulipata huduma wapi kazi yao ina stress sana sio rahisi kustahimili mambo mengi kichwani
 
Upo sahihi, ila hapo ni “thieves” na siyo “thiefs”
 
Cumamaeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka Sana aiseee!
 
Hata hujaelewa mada! kuna sehemu mleta mada kasema waizi waachwe?
 
Huyu mama hajui uongozi na ni mzalilishaji why maelezo ya watendaji wenzake aite makamera na kuwazalilisha. Hafu anatumia a lot of energy KWA vitu simple, vingine wizara isipofanyiwa overhaul yeye kupiga kelele ni wastage of time. I miss Ummy aisee. Huyu dorathy ni empty set Mimi hata taarifa zake nikiona zinanichefua. In short ana poor leadership skills
 
Hizo ni tabia za mmoja mmoja haziwezi kuwachafua wote, inategemea ulipata huduma wapi kazi yao ina stress sana sio rahisi kustahimili mambo mengi kichwani
Sijasema wote nimesema wengi,hivyo ndio walivyo hadi imefikia ukimkuta Daktari mpole na anakusikiliza unaona ni kitu cha tofauti na kawaida ilivyo. Inawezekana kweli wanakuwa na stress zao za kazi ila sio sababu ya kuhamishia hizo stress kwa wagonjwa na kutoa huduma mbovu lazima wakumbuke wana deal na afya za watu.
 
Mkuu unamsifia uongo ongea yake tu ni zero hata uwasilishaji wake ka konda za daladala, hafu anapenda macamera Sana, huyu
 
Yule mama kama mwajuma nchokonoe wa buza huko..... Hakuna kiongozi pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…