Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Mama wa corona alikua safi sanaBado namkumbuka mama mwenye zake hekima Mama Ummy Mwalim! Wizara ilimpenda, naye akaipenda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama wa corona alikua safi sanaBado namkumbuka mama mwenye zake hekima Mama Ummy Mwalim! Wizara ilimpenda, naye akaipenda.
Kupiga kazi ni kuonekana kwenye tv kila siku na mapichapicha au mimi sielewi, kupiga kazi nikuleta mabadiliko katika kitengo unachokisimamiaHuyu mama kiukweli anapiga kazi pia ni mfuatiliaji mzuri lakini apunguze sifa, majigambo na kujikweza. Hivi vitu vitatu ndivyo vinamharibia.....
Ni waziri mtekelezaji another version of JPM ...Katika mawaziri wa ovyo ovyo waliowahi kuongoza wizara ya Afya, huyu mama ndio ovyo kupita wote.
Amekaa kiswahili swahili sana, ana maneno mengi tena ya ovyo ovyo halafu hana mbinu zozote za kiutendaji. Ni kama hajiamini vile kuwa anastahili kuwa waziri hivyo anajaribu kujitutumua ili aonekane. Poor lady.
Kwa maoni yangu, huyu mama hafai hata kuwa mfagizi wa zahanati.
mabadiliko yameanza kuonekana mfano MSD wataanza kutengeneza gloves badala ya kuimport sasa jiulize miaka yote walikuwa wapi?Kupiga kazi ni kuonekana kwenye tv kila siku na mapichapicha au mimi sielewi, kupiga kazi nikuleta mabadiliko katika kitengo unachokisimamia
Na wewe msomaji acha sifaWw mwandishi acha wivu
Wewe ndiyo umeongea jambo lenye tijaHuyu mama inaonekana alikuwa na visasi sana na watu wa wizara aliyoitumikia kwa miaka mingi. Huko inawezekana alikutana na madaktari wakorofi, waongo, wezi, wanyanyasaji, wakabila, waopenda Tasnia ya afya, wavivu na wale waliokaribu na utawala na inawezekana walitumia ubabe kumnyanyasa ikiwemo kimgonga bila ridhaa yake Sasa amepenya na kuwa juu yao. Mimi ninamsifu kwa huo muhemko alio nao lkn namshauri awaone wale Kama wenzake iwapo anataka kudumu kwenye hiyo nafasi ya uwaziri..yaani aache visasi field mashall ni kiongozi mkubwa wa jeshi kule jeshini ndiko kwenye ushenzi wa kila aina lkn baada ya mafunzo mnamaliza tofauti na kuwa kitu kimoja. Sasa kama anatamani ufield mashall Basi aache visasi jeshini hakuna visasi.
Unatukana madaktari?Acha maza aendelee kutuburudisha kwa vichambo.
Nampenda huyu mama kwa staili yake ya kuongea.
Madaktari mtanyooka tu na mimi nasema awanyooshe tu cumamae zenu😂😂😂 maana hakuna namna nyingine.
Lugola alikua ananinyooshea polisi, huyu mama amekuja kuwanyoosha madaktari. Safi sana.
Hizo ni tabia za mmoja mmoja haziwezi kuwachafua wote, inategemea ulipata huduma wapi kazi yao ina stress sana sio rahisi kustahimili mambo mengi kichwaniMadaktari wanatunyoosha kila siku,wengi wanadharau siku nilimpeleka Bi mkubwa pale Amana tena usiku ana hali mbaya ila Kale kadktari kanachat na smartphone yake huku anatuuliza maswali yani hata hatuangalii mara atukolomee. Sema ndio hivyo inabidi uwe mpole ila unaweza ukawatia makofi bure.
Yani polisi na madoctor huwa hawataki kuguswa wanajiona wao ndio kila kitu.
Upo sahihi, ila hapo ni “thieves” na siyo “thiefs”Wewe na wenzako acheni wizi wa madawa.mama yuko sawa acheni majungu.
Mnataka waziri aje mumfungulie milango ya gari kisha mumdanganye aondoke?
Wizara ya afya ni moja ya wizara nyeti sana nchini ikihusu uhai wa WATANZANIA.
Pia wizara hii imejaa ufisadi wa kutisha kwa muda mrefu sana.
Mfano ni hivi majuzi pale MOI muhimbli na hapo UKEREWE.
Acheni mama asafishe uozo.
Mngekuwa wastaarabu msngeiba madawa na kuacha ndugu zetu wakifa mahospitalini
SHAME ON ALL OF YOU THIEFS
Cumamaeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka Sana aiseee!Acha maza aendelee kutuburudisha kwa vichambo.
Nampenda huyu mama kwa staili yake ya kuongea.
Madaktari mtanyooka tu na mimi nasema awanyooshe tu cumamae zenu[emoji23][emoji23][emoji23] maana hakuna namna nyingine.
Lugola alikua ananinyooshea polisi, huyu mama amekuja kuwanyoosha madaktari. Safi sana.
Hata hujaelewa mada! kuna sehemu mleta mada kasema waizi waachwe?Wewe na wenzako acheni wizi wa madawa.mama yuko sawa acheni majungu.
Mnataka waziri aje mumfungulie milango ya gari kisha mumdanganye aondoke?
Wizara ya afya ni moja ya wizara nyeti sana nchini ikihusu uhai wa WATANZANIA.
Pia wizara hii imejaa ufisadi wa kutisha kwa muda mrefu sana.
Mfano ni hivi majuzi pale MOI muhimbli na hapo UKEREWE.
Acheni mama asafishe uozo.
Mngekuwa wastaarabu msngeiba madawa na kuacha ndugu zetu wakifa mahospitalini
SHAME ON ALL OF YOU THIEFS
Naona huyu mama anafwata nyayo za kangi lugola!!
asalamaleko, tumsifu yesu kristo.... imeisha hiyo.
Sijasema wote nimesema wengi,hivyo ndio walivyo hadi imefikia ukimkuta Daktari mpole na anakusikiliza unaona ni kitu cha tofauti na kawaida ilivyo. Inawezekana kweli wanakuwa na stress zao za kazi ila sio sababu ya kuhamishia hizo stress kwa wagonjwa na kutoa huduma mbovu lazima wakumbuke wana deal na afya za watu.Hizo ni tabia za mmoja mmoja haziwezi kuwachafua wote, inategemea ulipata huduma wapi kazi yao ina stress sana sio rahisi kustahimili mambo mengi kichwani
Mkuu unamsifia uongo ongea yake tu ni zero hata uwasilishaji wake ka konda za daladala, hafu anapenda macamera Sana, huyuAcha maza aendelee kutuburudisha kwa vichambo.
Nampenda huyu mama kwa staili yake ya kuongea.
Madaktari mtanyooka tu na mimi nasema awanyooshe tu cumamae zenu[emoji23][emoji23][emoji23] maana hakuna namna nyingine.
Lugola alikua ananinyooshea polisi, huyu mama amekuja kuwanyoosha madaktari. Safi sana.
Vikao vya ndani ndo huita macamera ka yoteYeye anatakiwa kuwa mhamsishaji. Hana vikao vya ndani na wakuu wake wa vitengo?